Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Mkuu unampigia Mbuzi gitaa,huyo unayemshauri amechagua sifa za kidunia zaidi kusifia zinaa na kutaka mzinifu apewe maua yake na kombe,akifahamishwa anajifanya anajua majibu ya hovyo kwa watu,yote kutafuta sifa za kipumbavu eti kaonekane kajitu ka ubuyu,halafu ni kabibi sasa,umri umesonga ila akili imeganda.
 
Wambea hawakosekani Mkuu, ila kushuka kwa taasisi hapana.
Kigogo yuko makini na sio kwamba huyo Hamisa ndio wa kwanza.
........😀😀daah! sawa bibie! kwamba hawezi kuyumbisha taasisi, na zaidi ya yote yeye sio wa kwanza, ila tutaomba updates kwa kila litakalojiri siku za usoni......
 
Endapo angekubali Chibu angetamba nae sana, ile ndio mali safi ya kutoka sio yule mwingine.

Nicole unaambiwa ule mtindi meneja ndio anajua raha yake, Lols.
Sema chibu roho itakuwa ilimuuma sana 😁😁 japo kwa upande wa Jihan inaonekana datings zake ni za watu wenye mulaa na anaishi low profile sana. Kwa hiyo kuwa na chibu isingemuongezea chochote zaidi ya useless fame. Mtoto wa Dimack 🔥🔥
 
Chibu angeharibu 'CV'.
 
Rick Ross na yule Mnaija kushnehi?

Hivi na huyu naye anasehemu za siri.
 
Rick Ross na yule Mnaija kushnehi?

Hivi na huyu naye anasehemu za siri.
Rick sijawahi kuamini kama walikuwa wapenzi, ilikuwa biashara ile.

Huyo mwingine Mghana Kevin ndiye walikuwa wapenzi, wanasema wameachana kwa wema hawana shida umbali uliwashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…