Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Mhindi nasikia hahongagi, alijipigia akapita hivi......afu huyu dada itakuwa upstairs empty, anampenda wanaume wenye status lakini mbona wanaume wakishajipigia wanapotea ghafla🤣 husiano halifiki hata krismas mbili Yani, wanapotea
Wala sio Muhindi mwaya, siku nikipata baraka za chanzo changu nitaruka nao.

Yani Hamisa nampenda jamani natamani apate wa kutulia nae ila ndio hivyo tena.

Ila kichwa chake kiko vizuri, maisha anayoishi sio madogo na rahisi. Hamisa ndio mwanamke ghali sasa hivi kuliko mastar wote wa kike, amejua na kuweza kujibrand.
 
Mhindi nasikia hahongagi, alijipigia akapita hivi......afu huyu dada itakuwa upstairs empty, anampenda wanaume wenye status lakini mbona wanaume wakishajipigia wanapotea ghafla🤣 husiano halifiki hata krismas mbili Yani, wanapotea

Naona unamix mapenzi na biashara. Biashara haina attachment, mtu akitimiza fantasy za kulala na star flani anakimbia.

Labda kama unaongelea mtu kuwa mchepuko permanent kitu ambacho si rahisi kwa hawa stars walio kwenye peak, maana kwao kuishi kwa kubanwa na wakati kuna watu bado wanafika dau ni kitu hakiwezekani
 
Aaah jamani vibaya hivyo! Ina maana hadi Vee na Jihan ndio alikuwa akiwapa hizo?
Other factors remain constant 😁😁😁

Hata hivyo namuelewa sana jihan maana ni mrembo sana na yupo low profile. Very classic kuliko celebrities wengi tulionao

Mwingine ni Nicole Joeberry, nina uhakika hii mama inaingiza dollars nyingi sana kuanzia ndani hadi kimataifa na haina kelele sana
 
Shida Hana akili, sijui anajikuta nani.....

Anayaanika kwa sababu anajiamini sana, anaamini mwanaume anaweza kumuacha mkewe kwa ajili yake, kitu ambacho hakipo🤣🤣🤣

Mtu single mother wa watoto wawili, halafu ukipata husiano unataka ulitangaze, unaishia kusababisha tafran.....Kwani angeliwa kimya kimya angepungua nini?
Kwani hili husiano katangaza wapi jamani? Mbona amehojiwa mara nyingi amekataa kabisa?

Hili ni sisi wambea wenye connection ndio tunajua, wanaficha sana.
 
Back
Top Bottom