Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Other factors remain constant 😁😁😁

Hata hivyo namuelewa sana jihan maana ni mrembo sana na yupo low profile. Very classic kuliko celebrities wengi tulionao

Mwingine ni Nicole Joeberry, nina uhakika hii mama inaingiza dollars nyingi sana kuanzia ndani hadi kimataifa na haina kelele sana
Jihan hata mimi namkubali, Chibu alitaka kujiweka dada wa watu akashindwa ule uswahili wao.

Ukitaka kuujua umuhimu wa Nicole mguse Meneja chotara wa Chibu. Nicole ni ‘pepo’ yake.
 
Wala sio Muhindi mwaya, siku nikipata baraka za chanzo changu nitaruka nao.

Yani Hamisa nampenda jamani natamani apate wa kutulia nae ila ndio hivyo tena.

Ila kichwa chake kiko vizuri, maisha anayoishi sio madogo na rahisi. Hamisa ndio mwanamke ghali sasa hivi kuliko mastar wote wa kike, amejua na kuweza kujibrand.
Pengine Hamisa ana shida kichwani au ametupiwa kitu anapaswa kwenda kwa Mwamposa ni wazi ana mikosi😂😂😂. Shida ya Hamisa sio kupata mwanaume wa maaana shida ya Hamisa ni kumtunza to keep…..! Huyo kigogo atajipigia halafu atamtupa wengine watakamata! Hamisa anayoshida lazima amtafute Mwamposa au Gwajima😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom