Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Mke wa Kigogo ni dada wa anayetajwa kama mfadhili wa taasisi ya anakofanyia shughuli zake Kigogo. Hilo linamuweka pabaya zaidi Kigogo kwani endapo akiendelea kutoka na mrembo huyo kimapenzi huwenda kibarua chake kikawa hatarini kwani mfadhili hatoweza kuvumilia kuona dada yake akinyanyasika juu ya penzi hilo la mumewe na
Hatari.....
 
Mhindi nasikia hahongagi, alijipigia akapita hivi......afu huyu dada itakuwa upstairs empty, anampenda wanaume wenye status lakini mbona wanaume wakishajipigia wanapotea ghafla🤣 husiano halifiki hata krismas mbili Yani, wanapotea
Kungwi unayaweza khaaa.!! 🤣🤣🤣
Mobero yupo kimaslahi buana hataki kugandana na kuzoeana.!!
 
Nimecheka sana Babu, lols.
Kwahiyo katika pisi zake ile ndio uliikubali zaidi?
To be honest, ile pisi enzi zile ilikuwa ya moto balaa 🙌

Pamoja na kwamba mchagua jembe sio mkulima, ila kusema kweli vipotabo vina nafasi yao Kwa Wazee 🤗

Amefanya niwe nairudia kucheza video yake mara nyingi ili niendelee kula Kwa macho 🙌
 
Babu umeanza lini kupenda vipotabo 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom