Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Amen Mjukuu 🙏🙏

Alijua kuji-brand ndiyo maana aliweza kudate Wazee wenye hela tu.

Pamoja na kuzeeka kwangu lakini bado jicho langu Lina uwezo wa ku-pick vitu vizuri

Aliyefuta mashindano ya Umisi ametunyima vitu vingi Wazee wenzie 🙌
Kwani Babu na jicho lako hilo hukuwahi kumtia kimiani mrembo mwenye taji lake? Hadi yule Twiga wa 2001 hukumuelewa?
 
Swali la ukorofi hilo Mjukuu 🤗, nikisema ukweli tu, kesho mtasikia nimepewa talaka na Bibi yenu hata kama tukio nilifanya Mwaka 47 😜

Yaani anasahau kuwa mavi ya kale hayanuki 🙌
 
Babu isijekuwa ni Basila huyo jamani! Maana alijua kuwaweka mikononi wazee wetu.

Ila alikuwa mzuriiii, nampenda hata Shose pia.
 
Wewe tena ukipenda mtu huambiliki🤣🤣🤣🤣 ataolewa ila kwa tabu mnooo. Mtu wa kumuoa ilikua ni majizo kama nae alimuacha basi tena ....
Yani mimi jamani nikipenda huwa nazamisha kichwa kwenye mchanga kama mbuni sisikii la mtu!

Ila Majizzo alimkosa mwenyewe kwa ujinga wake wa utoto, akamuona mshamba akamdharau akatoka na akina Petii Jizzo aliumia mno.

Unaambiwa mpaka leo Jizzo hajapona kidonda cha Hamisa, anampenda sana. (Umbea huu jamani)
 
Jizo yupo zake na mapenzi yake ya ladies and gentlemen
 
Back
Top Bottom