Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Wewe ulisema tofauti bwana. Kwamba Hamisa anatumika kumbakisha Aziz Ki Yanga, anamchuna sijui nini ndio nikakwambia wala hawana mahusiano Hamisa yupo na Kigogo pale Yanga.
My point was,Aziz hatafuni ule mzigo bali kuna something behind,hiyo ya kumlainisha Aziz asain yanga na hiyo ya kwako may be am not sure ila Azizni mshika pembe,hata hivyo unadhan Hamisa atamuacha bila kumchuna?
Hamisa sio mtamu
 
So its no longer the origin version kumbe ni edited version ya wenye Uzi wao? Yaani there are some people who decides what nifah apost na kipi asipost. Rubbish
Wewe akili yako iko sawa kweli? Yani kumbe wakati unafundishwa shule na waalimu wako kumbe walikuwa wanakuamulia kipi cha kufanya?

Tikisa ubongo huo umeganda.
 
My point was,Aziz hatafuni ule mzigo bali kuna something behind,hiyo ya kumlainisha Aziz asain yanga na hiyo ya kwako may be am not sure ila Azizni mshika pembe,hata hivyo unadhan Hamisa atamuacha bila kumchuna?
Hamisa sio mtamu
Hamisa amuache nani sasa? Maana hatoki kimapenzi na huyo Ki.

We umejuaje?
 
Back
Top Bottom