Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Mungu aendelee kuwapigania, wanawake tunaumia mno. Ndio maana matukio hayaishi wanawake nao wamecharuka kuua waume zao.
Kwa kweli muendelee tu kutuombea maisha marefu. Ila kwa kweli tunapitia wakati mgumu sana kuvishinda vishawishi na hasa tunapokuwa na mafanikio makubwa (umaarufu) katika nyanja za kiuchumi, kijamii na pia kisiasa.
 
Kumbe huyo ndio hamisa, ni mzuri kwa kwel.
IMG_5501.jpeg

Mzuri sana.
 
Kwa kweli muendelee tu kutuombea maisha marefu. Ila kwa kweli tunapitia wakati mgumu sana kuvishinda vishawishi na hasa tunapokuwa na mafanikio makubwa (umaarufu) katika nyanja za kiuchumi, kijamii na pia kisiasa.
Hivyo ni visingizio tu, utulivu unaanza na akili yako mwenyewe nini unataka.
 
Back
Top Bottom