Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Una busara sana Mjukuu, hadi nahisi utakuwa umetokea ile Kanda ambayo Rais wa kwanza wa Tanzania alitokeaHamfikii Nandy sababu ya aina ya familia ambao wote wametokea, Hamisa ndiye baba na mama wa familia yao unlike Nandera, kwahiyo wakipata pesa mmoja atanyanyuka haraka kuliko mwenzie.... Halafu
Hata huku mitaani kuna watu tuna upepo wa pesa ila majukumu sasa!!! Rafiki yangu mmoja anaitwa Manka huwa ananiambia kwenye circle yetu ulipapaswa uwe na pesa kuliko wote, hajui mimi na yeye tunatofautiana mahali, so yeah Hamisa ametokea familia ya kawaida ya ugali bamia, alipo hapo ni pakubwa sana....