Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kumuolea mtu?Sisi habari kaolewa au kamuolea mtu hatuna habaree..kikubwa kaolewa..hahahaha
Sijui hyo ya wapi aisee....sijawahi sikiaInawezekana kumuolea mtu?
Sanaaa kwakweli kakamilika kila idaraIla hamisa mobeto ni kazuri😋
Mmetoa michango au bure?Kweli dogo...mapemaa nitakutumia pikcha....
Fillers tu zile malaika cute analipa zaidi yakeSanaaa kwakweli kakamilika kila idara
Bure mm naenda...nimeitwa kama chawa wa hamisa...Mmetoa michango au bure?
Hahaha eeh!Bure mm naenda...nimeitwa kama chawa wa hamisa...
Malaika yule mwny muwezele wa sajari?Fillers tu zile malaika cute analipa zaidi yake
Nakuonea wivu misosi ya hukoBure mm naenda...nimeitwa kama chawa wa hamisa...
Yes huyo huyo! Mi nalipenda na ufeki wake 😁muwezele wa sajari?
Acha banaa... 🤣 🤣 🤣 🤣 kuna siku litakumomonyokea...Yes huyo huyo! Mi nalipenda na ufeki wake 😁
I don't care najiskia raha nikiliona siwezi kuzuia hisia zangu mtani nature ni nature tu 😍🤩Acha banaa... 🤣 🤣 🤣 🤣 kuna siku litakumomonyokea...
Wale wahenga waliokuwa wanatueleza kuhusu hadithi za abunuasi ndiyo hizi sasa!View attachment 3005811
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, mwigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la kificho kwa takribani mwezi wa pili sasa.
Penzi lilimea SA, Ubuntu Botho!
Wawili hao walikutana kwenye ndege wakati wa kuelekea kwenye mechi ya marudiano ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, CAFCL dhidi ya miamba ya Soka ya Afrika ya Kusini Mamelody Sundowns.
Kigogo huyo kijana mwenye haiba ya kitanashati na mwenye sifa kuu tatu wazipendazo zaidi wanawake kutoka kwa wanaume… tall, dark and handsome jina lake hutajwa kwa kutanguliwa na taaluma yake.
Inataarifiwa kwamba wawili hao walizama penzini punde tu walipokutana kwenye ndege, na hadi kutua S.A penzi lilishachipua!
Taarifa zaidi zinasema hata uwanjani walienda kwa gari moja, na walikaa jukwaa moja!
Aziz Ki atumika kuokoa jahazi!
Mwamba kutoka Ouagadougou, Stephen Aziz Ki anatajwa kutumika kuinusuru ndoa ya Kigogo huyo wa Yanga mara baada ya mkewe kushtukia mchezo.
Kama mnavyotujua wabongo huwa tunanyimana michongo ila sio umbea, taarifa zilimfikia mke wa Kigogo ambaye aling’aka na kupelekea ndoa kuwa rehani!
Mwamba Aziz ambaye anatajwa kama mchezaji pendwa zaidi na Kigogo huyo klabuni hapo, ilibidi atumike kutengeneza mapichapicha ya kumpoza mke wa Kigogo.
Ndio yale mliyoona mara wako pamoja wakitokea uwanja wa ndege, wakikumbatiana uwanjani na kwingineko yote yale ni maigizo, Ki hana mahusiano ya aina yoyote na Hamisa bali alitumika kumnusuru boss na mshkaji wake kuepuka dhahma kutoka kwa mke wake.
Penzi hatarini kuvunjika muda wowote!
Baada ya wambea kumsanua mke wa Kigogo, inasemekana wapenzi hao wako hatarini kuachana muda wowote kutokana na suala hilo kumkalia vibaya Kigogo.
Mke wa Kigogo ni dada wa anayetajwa kama mfadhili wa taasisi anakofanyia shughuli zake Kigogo. Hilo linamuweka pabaya zaidi Kigogo kwani endapo akiendelea kutoka na mrembo huyo kimapenzi huwenda kibarua chake kikawa hatarini kwani mfadhili hatoweza kuvumilia kuona dada yake akinyanyasika juu ya penzi hilo la mumewe na Hamisa.
Hamisa kiboko, sio mchezo!
Jamani Hamisa apewe kombe lake, ikishindikana basi hata maua maana anastahili. Ndani ya miaka hii mitatu ameshatoka na vigogo kutoka kwenye klabu zote 2 kubwa nchini, achilia mbali kuzaa na wanaume wawili maarufu na wamiliki wa redio 2 kubwa nchini!
Hapo kabla alianza kutoka na Kigogo kutokea Simba, japo penzi lao lilikuwa mithili ya upepo kwani halikudumu.
Lakini licha ya kutodumu, penzi hilo lilitumika kama chambo kumpatia Mwijaku ajira Simba.
Chanzo changu nyeti kimesimamia show,
Nifah.
Sanaaa kwakweli kakamilika kila idara