Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
RB Leipzig 😎RED BULL GIVES YOU WINGSSSSSS
Wabongo wengi wanapenda sana hii cyberbully.Hamisa Mobetto awataka Juma Lokole na Maimartha kuacha kumfanya kuwa content ameeleza kuchoshwa na kile alichodai kuwa ni bullying na harassment dhidi yake pamoja na familia yake kwenye mitandao ya kijamii mpaka imefikia hatua ya kumtumia ujumbe Dkt. Gwajima D ili ashughulikie swala hilo.
Kupitia Instagram Story, Hamisa amesema hali hiyo imekuwa ikijirudia mara kwa mara kwenye platforms zinazohusishwa na Juma Lokole na Maimartha, akisisitiza kuwa maisha ya mtu hayapaswi kufanywa burudani au content bila kuzingatia madhara yanayoweza kutokea.
Hamisa, ambaye ni mama wa watoto wawili, amesema hali hiyo imeanza kumuathiri kihisia na kuomba yeye pamoja na familia yake waheshimiwe. “Bullying sio burudani. Harassment sio content. Na kumuumiza mtu mwingine sio kitu cha kufurahisha,” amesema Hamisa.
View attachment 3656047View attachment 3656046View attachment 3656044View attachment 3656045
Juzi kati mama yake alionekana kutaka kupigwa denda na aziz ki , video ikaenda viral Sana Kwa tukio kama Hilo Kwa wabongo hauwezi kubaki salamaWabongo wengi wanapenda sana hii cyberbully.
Wamemfanyia Charlene Ruto na mumewe, wamemfanyia Juma Jux na mkewe. Sasa Hamisa.
Sawa, inawezekana kuna watu wengine kama Hamisa wanajiweka public sana wenyewe na kujifanya target, lakini hilo halihalalishi excessive cyberbullying.
Mtu kuwa maarufu kutokana na kazi yako haihalalishi uwe cyberbullied.
Juzi kati mama yake alionekana kutaka kupigwa denda na aziz ki , video ikaenda viral Sana Kwa tukio kama Hilo Kwa wabongo hauwezi kubaki salama
Sio poaKwangu hata Aziz Ki akimbusu huyo mama yake hainihusu.
Inanihusu nini sasa?
Huyu Hamisa ni mtu wa maisha ya mitandaoni na matukio pengine kumtetea ni vigumu zaidi. Na mimi sijui stories zao vizuri, sona muda nchafu wa kuwafuatikia kihivyo, kwa hiyo sitaki kununua kesi nisiyoijua.
Ila ni kama tumepewa mitandao yenye nguvu kushinda akili za wengi.
Kuna mdada alikuwa anamchamba Charlene Ruto mavazi ya kwenye harusi yake utafikiri huyo mdada amenyimwa kitu na huyo binti wa Ruto.
Ukimuuliza kwa nini, anasema ooh, mimi fashionista. Nikasema wewe ni Fashionzilla wala si fashionista. Sasa kama mtu kavaa hata gunia, harusi yake, mavazi yake, wewe lazima umchambe kwenye mavazi ambayo kaamua mwenyewe? Si ufanye na wewe harusi yako unavyopenda.
Kwa Juma Jux wametengeneza mpaka picha za uongo kumcheka tu.
Kuna mtu hapa JF nikambana hapa nikamwambia hii habari ya kufuatilia watu sana ni nyie kukosa life tu. Ni ujinga tu. Akaona bora akubali ili aendelee kufurahia huo ujinga tu.
Mpaka siku mtu mwenye uwezo mdogo wa kuhimili haya maneno ajiue, na wao watajifanya kusikitika sijui au ndiyo watafurahia kabisa?
Haiba yake haifanani na matendo yake ukikaangalia kapole lakini mambo anayoyafanya ni ya kimalayamalaya mke wa mtu gani unazurura mwenye club za usiku alafu unakatakata mauno ovyo ovyo kama unatafuta mabwana yaani Azizi Ki kujichanganya sana kwa huyu manzi Wanaume wa bongo wamemzalisha na kumbwaga yeye anajikuta nani sijui anaubeba huu msalabaKaa utulie na mumeo, tabia zako za kimalayamalaya ndizo zinafanya uwe mtaji wa content creators
Mkuu huyu ni mke wa mtu ila anazurura kila club za usiku alafu anajirecord anakatikakatika mbele ya wanaume alafu anasema kwa tako lake kubwa anashindwa vipi kutunzwa Kuna wanaume wanaonekana wanamtunza mahela kwa huu upuuzi kwanini watu wasimbully???Wabongo wengi wanapenda sana hii cyberbully.
Wamemfanyia Charlene Ruto na mumewe, wamemfanyia Juma Jux na mkewe. Sasa Hamisa.
Sawa, inawezekana kuna watu wengine kama Hamisa wanajiweka public sana wenyewe na kujifanya target, lakini hilo halihalalishi excessive cyberbullying.
Mtu kuwa maarufu kutokana na kazi yako haihalalishi uwe cyberbullied.
Ila sio kwa Hamisa Mobetto umalaya wake wa wazi ndio unaomfanya watu wambullySio poa
Watu huwa wana bully muonekano au sura au mavazi ya mtu kiasi unajiuliza kwani amemkosea au kumgusa
Ila yote hayo ni matokeo ya malezi na watu wengi wana hasira kwenye mioyo hawana pa kuzitolea
Ana record viclip anashikwa shikwa matako na mwanaume alafu yeye ni mke wa mtu kwanini watu wasimbullyKama kuna anayosingiziwa akawashtaki. Siku hizi jamii imejaa ukatili. Mchina wa watu alifiwa watu wakaanza kumcheka.
Kwa nini wam bully? Hilo ndilo swali.Mkuu huyu ni mke wa mtu ila anazurura kila club za usiku alafu anajirecord anakatikakatika mbele ya wanaume alafu anasema kwa tako lake kubwa anashindwa vipi kutunzwa Kuna wanaume wanaonekana wanamtunza mahela kwa huu upuuzi kwanini watu wasimbully???
Watu wanamsema kutokana na matendo yake ila yeye ndio anageuza maana kuwa eti Wana mbullyKwa nini wam bully? Hilo ndilo swali.
Mtu kaamua kuishi hivyo. Wewe tatizo lako nini?
Kama hupendi maisha hayo si usimuangalie tu?
Dunia hii kuna vingapi usivyovipenda?
Uta bully wangapi usiopenda wanayofanya?
Kwa sababu gani?
Kama mtu hataki kukanyaga mchanga wa ardhi, anaweza kuweka carpet dunia nzima, kila anapokwenda, ili tu asikanyage ardhi.
Au anaweza kuvaa kiatu, na akawa kafikia lengo lile lile.
Sasa kwa nini watu wanataka kuweka carpet dunia nzima ili wasikanyage chini, wakati wanaweza kuvaa kiatu?
Inawezekana Hamisa hana uhalali wa kutaka asiwe bullied, kwa sababu maisha yake yanaalika hiyo bullying, na pengine hata yeye anajua ndiyo maana ameanza kwa kusema hatafuti sympathy.
Lakini, Hamisa kukosa uhalali wa kufanyiwa bullying haina maana yeye kufanyiwa bullying ni sawa.
Yani inawezekana kabisa Hamisa anakosea kufanya anavyofanya, na wanaombully nao wanakosea.
Kama vile inavyowezekana mwizi akiiba anakosea, lakini na wale watu wanaomkamata mwizi na kumchoma moto bila uhakiki, bila kupima kosa na adhabu, bila kumpeleka vyombo vya dola, na wao wanakosea.
Kwa hivyo, Hamisa kukosea, kama kweli kakosea, haihalalishi watu kum cyberbully.