Hamisa Mobetto: Sihitaji huruma ila Juma Lokole na Maimartha wananibully mtandaoni

Watu wanamsema kutokana na matendo yake ila yeye ndio anageuza maana kuwa eti Wana mbully
Hiyo kumsema kutokana na matendo yake ndiyo bullying yenyewe.

Kwa sababu matendo yake, maisha yake, unamsema nini sasa?

Tanzania watu wengi hawajui uhuru wa mtu binafsi, wanajiona wana haki ya kumuingilia mtu katika maisha yake binafsi.

Yani ni hivi, hata Hamisa akiwa anadanga mitandaoni, hayo ni maisha yake. Kama wewe hupendi kudanga kataa kudanga, fundisha watoto wako kudanga ni kubaya. Usifiatilie watu wanaodanga, fuatilia watu wenye falsafa kama zako katika maisha.

Mimi mbona simfuatilii Hamisa na wala sijui habari zake mpaka mzilete hapa JF?

Hamisa akidanga kivyake na mimi nikimuona huyu masikini limbukeni tu nikawa sifuatilii habari zake nafuatilia biashara zangu, nitapungukiwa nini?

Tena nikisikia habari zake naweza hata kumuonea huruma huyu mwanamke hajasoma, katoka familia masikini pengine, mifumo ya nchi yetu imemuangusha sasa hivi ana hustle kudanga tu.

Watu wengi wanaomfuatilia hivyo na kum cyberbully Hamisa hawana life. Mtu mwenye busy life hawezi kumfuatilia Hamisa hivyo.

Atafuatilia mikataba ya biashara, kesi za real estate, investment strategy, trust fund ya familia.

Sasa Wabongo wengi hawana elimu, hawana utashi, hawana kazi. Hawana biashara.

Wangapi wana trust funds za familia hapa? Tunahesabika.

Ndiyo maana kumfuatilia Hamisa imegeuka kuwa kazi yao.
 

Hiyo ni dalili ya kuwa na kundi kubwa la watu wajinga!
au pengine tubadilishe Syllabus (mitaala ya darasani) twende na Science & Hesabu kama Huko Iran nk
Huko Iran huwezi kuta watu wajinga wajinga wa kukesha mitandaoni na kwenye Maredio wakijadili maisha binafsi ya watu..
 
Wabongo wengi wavivu tu.

Siku hizi mambo yote yapo mtandaoni lakini wengi wameshindwa hata kujifunza Kiingereza tu.

Na Kiingereza ndiyo lugha kubwa ya kutafutia fursa mitandaoni.

Huo muda wa kumfuatilia Hamisa wenzao wanapiga deal humo humo mitandaoni.
 
Supastaa na mfanyabiashara Hamisa Mobetto, ameripotiwa kulazwa hospitalini baada ya kupatwa na mshtuko na athari za kisaikolojia zilizosababishwa na kile alichokiita "unyanyasaji wa mtandaoni" (bullying na harassment) kutoka kwa watangazaji wa burudani, Juma Lokole na Maimartha Jesse.

Mjadala huo ulioshika kasi kwenye mitandao ya kijamii unahusisha ndoa yake na kiungo wa soka Stephane Aziz Ki. Watangazaji hao wamekuwa wakidai kuwa ndoa ya wawili hao ipo hatarini huku Juma Lokole akidai kuwa Aziz Ki yupo mbioni kuoa mke wa pili wa Kitanzania kwa kuwa familia yake inahitaji mtoto.

Muda mfupi kabla ya afya yake kuzorota, Hamisa Mobetto kupitia Instagram Story yake alifunguka kwa uchungu akitaka watangazaji hao kuacha kutumia maisha yake ya kibinafsi kama maudhui ya kutafuta watazamaji (content).

Your browser is not able to display this video.
 
Anashindwa kutafuta watu wa kuwateka na kuwafira hao, anakazi ya kujiliza mtandaoni.

Hao dawa yao ni ndogo. Watekwe na warekodiwe wanadinywa, wataacha kubully wenzao.
 
Ninalihitaji mezani mara moja faili la huyo kijana wa kiume anayeitwa Juma Lokole kesho mapema kabla ya saa mbili asubuhi. Ninahitaji pia kufahamu ni nani huko mjini.

ephen_ na mwenzako cocastic mtanisaidia kulipata.
 
Madini matupu mkuu.
 
Madini matupu mkuu.
Kuna dogo katoka kijijini huko hana hili wala lile, kasomasoma kwa mikopo na kuchangiwa na extended family kamaliza degree yake.

Kumaliza degree akawa ana hustle tu anajishikizashikiza, ila yeye focus yake mwenyewe ilikuwa kupata scholarship akasome zaidi nje. Aijue dunia. Hata sikujua.

Aliniomba nimnunulie laptop. Sasa mimi nikajiuliza, huyu laptop anafanyia nini? Au ndiyo ya kuangalia movies tu?

Sikutaka kumuhoji sana nikamnunulia a used laptop huku US, quite good, almost brand new, not too expensive but something he could function well with.

Nikampa baba yangu huku US akarudi nayo kumpelekea. Kwa muktadha, baba yangu huwa anakuja Marekani kufanya medical checkups na kucheza na wajukuu na kurudi Tanzania kila mwaka. So nikaona nitampa laptop aipeleke kwa huyu dogo aliyeomba.

Juzi hapa, huyu dogo ananiambia alikuwa anapambania scholarship ya kusoma Kazakhstan, alijaribu mwaka jana akakosa, mwaka huu kapata. Hana hata nauli.

Nikamwambia hiyo nauli usikonde, umeshajionesha mpambanaji tutakutafutia.

Apparently Kazakhstan wanatoa scholarships kila mwaka, ila sizisikii sana watu ku apply.

Sasa huyo ni mtu aliyejua anataka scholarship, akang'ang'ania alichotaka, hata aliposhindwa hakufa moyo, kajifunza kakosea wapi, karudia mpaka kapata.

Huo muda angeutumia kumfuatilia Hamisa angepata scholarship?

Kuna scholarships ngapi watu hawazichangamkii?

Halafu watu wakiwa masikini watalalamika mchawi nani hapo?

Wakati mitandao ina fursa za kubadilisha maisha, watu wanaichezea kufuatilia maisha ya Hamisa Mobeto?
 
Kabisa watu wanatumia muda kufualia maisha binafsi na mtu anakomaa kabisa hamisa anakata viuno club, kwa hivyo ni haki watu kuchunguza ndoa yake! Hamisa kukata kiuno club ni concern ya mume wake na familia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…