Kwa nini nione? Mimi hainihusu. Si ndoa yangu. Hamisa simjui. Yeye hanijui. Sioni kama ni mtu ninayeweza kupoteza muda wangu kutaka kumjua.Hujaona wadau wanalalamika huko club.
Ukishaamua kuyafanya maisha yako karibia yote public kwa makusudi kabisa huwezi kuepuka chochote mitandaoni.Hiyo kumsema kutokana na matendo yake ndiyo bullying yenyewe.
Kwa sababu matendo yake, maisha yake, unamsema nini sasa?
Tanzania watu wengi hawajui uhuru wa mtu binafsi, wanajiona wana haki ya kumuingilia mtu katika maisha yake binafsi.
Yani ni hivi, hata Hamisa akiwa anadanga mitandaoni, hayo ni maisha yake. Kama wewe hupendi kudanga kataa kudanga, fundisha watoto wako kudanga ni kubaya. Usifiatilie watu wanaodanga, fuatilia watu wenye falsafa kama zako katika maisha.
Mimi mbona simfuatilii Hamisa na wala sijui habari zake mpaka mzilete hapa JF?
Hamisa akidanga kivyake na mimi nikimuona huyu masikini limbukeni tu nikawa sifuatilii habari zake nafuatilia biashara zangu, nitapungukiwa nini?
Tena nikisikia habari zake naweza hata kumuonea huruma huyu mwanamke hajasoma, katoka familia masikini pengine, mifumo ya nchi yetu imemuangusha sasa hivi ana hustle kudanga tu.
Watu wengi wanaomfuatilia hivyo na kum cyberbully Hamisa hawana life. Mtu mwenye busy life hawezi kumfuatilia Hamisa hivyo.
Atafuatilia mikataba ya biashara, kesi za real estate, investment strategy, trust fund ya familia.
Sasa Wabongo wengi hawana elimu, hawana utashi, hawana kazi. Hawana biashara.
Wangapi wana trust funds za familia hapa? Tunahesabika.
Ndiyo maana kumfuatilia Hamisa imegeuka kuwa kazi yao.
But that is beside the point though.Ukishaamua kuyafanya maisha yako karibia yote public kwa makusudi kabisa huwezi kuepuka chochote mitandaoni.
Huwezi kuwa mtu unayetumia mitandao kukuweka mjini kwa biashara ya kutrendi halafu uepuke cyberchaos.
Lazima ubebe risk ya umaarufuUkishaamua kuyafanya maisha yako karibia yote public kwa makusudi kabisa huwezi kuepuka chochote mitandaoni.
Huwezi kuwa mtu unayetumia mitandao kukuweka mjini kwa biashara ya kutrendi halafu uepuke cyber trolling.
Unayosema ni sahihi mkuu ila hata kama hukubaliani na watu kuchoma wezi moto kuna mazingira unaweza kuelewa kwa nini watu wanaamua kuchoma mwizi moto tu.But that is beside the point though.
Kuwa mtu ambaye unaishi vibaya mitandaoni na unaalika cyberbullying hakuhalalishi cyberbullying.
Kama vile ambavyo kuwa mwizi hakuhalalishi watu kumchoma moto mwizi.
Vyote viwili vinaweza kuwa vibaya kwa pamoja.
Na kwa kesi ya Hamisa, ukiweka mizani, kumfuatilia sana ni matatizo ya kimfumo kwetu.
Watu hawana elimu, hawana kazi, hawana biashara, hawana ambition, wanajikuta tu katika matatizo haya.
Hawa wote, kuanzia Hamisa anayeishi kwa kudanga mpaka hao wanaomfuatilia sana na kum cyberbully, ni wahanga wa mifumo mibovu iliyowakosesha elimu na uwezo wa ku realize human potential yao.
Na kila aina ya umaarufu ulivyoupata una risk zake mahususi.Lazima ubebe risk ya umaarufu
Ninacho ona ni kuwa ndoa ananiona chungu Haku Chagua mtu sahihi, a Nakumbuka alivyozalishwa na wahuni then anaona kinacho endelea mitandaoni... Ndo a naishiwa pozi kabisa.Na kila aina ya umaarufu ulivyoupata una risk zake mahususi.
Kuna clip nimeona wakina mama waswahili wanamuogesha mwenzao stendi Mbagala ili kumuondolea mikosi aweze kudumu kwenye ndoa, watu kama hao wanawezaje kuacha kufuatilia wanawake wenzao mtandaoni na kufanya bullying?!Wabongo wengi wavivu tu.
Siku hizi mambo yote yapo mtandaoni lakini wengi wameshindwa hata kujifunza Kiingereza tu.
Na Kiingereza ndiyo lugha kubwa ya jutafutia furaa nitandaoni.
Huo muda wa kumfuatilia Hamisa wenzao wanapiga deal humo humo mitandaoni.
Public figure mambo yake yanatuhusu. Km huyajui tupi.she.Kwa nini nione? Mimi hainihusu. Si ndoa yangu. Hamisa simjui. Yeye hanijui. Sioni kama ni mtu ninayeweza kupoteza muda wangu kutaka kumjua.
Nimekuuliza swali hili, hujalijibu.
Hali ya ndoa yake inakuhusu nini sasa?
Naelewa kwa nini wanamcjhma mwizi moto, ila bado ni vibaya tu.Unayosema ni sahihi mkuu ila hata kama hukubaliani na watu kuchoma wezi moto kuna mazingira unaweza kuelewa kwa nini watu wanaamua kuchoma mwizi moto tu.
Katika hili pia unaweza kuona mambo mawili. Kuna mtu mmoja anaishi maisha ya udangaji, uchawa au kutrendi bila kuzalisha value yoyote kwenye jamii na anaonyesha public mafanikio ambayo watu wanajua ameyapata kupitia shortcuts za hovyo kwa sababu ya mifumo ya hovyo, halafu kuna kundi la upande wa pili ambao mfumo wa maisha umeshawafanya wasiweze kuishi kufikia hata robo ya human potential yao na hivyo kilichobaki zaidi mtandaoni na nje ya mtandao ndio hicho tu kufuatilia zaidi maisha ya wengine na ku troll.
Unaona yanakuhusu kwa sababu wewe huna yako tu.Public figure mambo yake yanatuhusu. Km huyajui tupi.she.
Wanaweza kuepuka kwa kujifunza na kujiongeza.Kuna clip nimeona wakina mama waswahili wanamuogesha mwenzao stendi Mbagala ili kumuondolea mikosi aweze kudumu kwenye ndoa, watu kama hao wanawezaje kuacha kufuatilia wanawake wenzao mtandaoni na kufanya bullying?!
Kuna wanaojiita wasanii na celebrities wanaonyesha kuwa na maisha ya gharama sana mjini wakionyesha majumba na magari ya kifahari halafu wakiumwa wanaomba kuchangiwa pesa tena na umma, Hawa wanawezaje kuepuka cyber trolling?!
Wanafanya vibaya sana kuingilia privacy za watu ,unaweza ukafanya content bila kuathiri UTU wa mtu.Hamisa Mobetto awataka Juma Lokole na Maimartha kuacha kumfanya kuwa content ameeleza kuchoshwa na kile alichodai kuwa ni bullying na harassment dhidi yake pamoja na familia yake kwenye mitandao ya kijamii mpaka imefikia hatua ya kumtumia ujumbe Dkt. Gwajima D ili ashughulikie swala hilo.
Kupitia Instagram Story, Hamisa amesema hali hiyo imekuwa ikijirudia mara kwa mara kwenye platforms zinazohusishwa na Juma Lokole na Maimartha, akisisitiza kuwa maisha ya mtu hayapaswi kufanywa burudani au content bila kuzingatia madhara yanayoweza kutokea.
Hamisa, ambaye ni mama wa watoto wawili, amesema hali hiyo imeanza kumuathiri kihisia na kuomba yeye pamoja na familia yake waheshimiwe. “Bullying sio burudani. Harassment sio content. Na kumuumiza mtu mwingine sio kitu cha kufurahisha,” amesema Hamisa.
View attachment 3656047View attachment 3656046View attachment 3656044View attachment 3656045
TIGO EXPRESS YOUSELFRED BULL GIVES YOU WINGSSSSSS
Umaskini sina weee vipi, hicho kikombe kiniepuke baki nacho niliapa kukimbia umaskini ktk maisha yangu.Unaona yanakuhusu kwa sababu wewe huna yako tu.
Ukiwa na yako hata huo muda wa kumfuatilia public figure utakuwa huna.
Hili ni tatizo la umasikini na ujinga tu.
Wewe kila siku unalia lia humu na ndio Jf, utafananisha na yeye huko IG anawafuasi zaidi ya milioni 10, bado tiktok na mitandao mengine,Hana akili ya maisha ndo maana wanambully..
Ukikaa kizembe wabongo hawakuachi salama
Inabidi uwe na target Zako za maisha to the point where outside noise haikuumizi tena
Lini nimelia humu?Wewe kila siku unalia lia humu na ndio Jf, utafananisha na yeye huko IG anawafuasi zaidi ya milioni 10, bado tiktok na mitandao mengine,
Hebu huko na wewe