Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Wanasiasa watatoana macho mwaka huuYou dont listen to politicians ambao wanatetea matumbo yao...unasikiliza wale wanaorisk maisha yao na nafasi zao kwenye siasa kusema ukweli....
Huyu ndugu yetu niwakuupuzwa tu...
huo ni ujinga.kama umeteuliwa ndo unatakiwa kuwa zombie?huyu jamaa bado ana akili za kitoto sana cjui atakua lini.Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?
Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Kuna watu wengi wanajua Kilichompata bwana yule mpaka akapoteza uhai na BASHRU anajua yote .nashauri CCM iachane naye.akiamua kumwaga mboga sijui mtajificha wapi.bora kunyamazaHatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?
Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Nchi kama haina wenyewe kwa kweli. Kiongozi wa juu bado anapambwa sana. Hawezi kukosolewa. Huyu nae anakuja na pambio ili apate teuzi. Nchi kama hiyo ni kama inajisukuma tu kwa upepo.Hizi sarakasi zinazoendelea ngoja tuandae popcorn [emoji897] , Dr Bashiru atapigwa pressure hadi ajiuzuru!
View attachment 2423008
Hakuna kibaya alichoongea. Ajiuzuru ksbb zipi? Asimamie msimamo wake. Sio hawa akina kingwangala kumpambisha mama na kulamba miguuBashiru kama yumo ajiuzuru tu ubunge
Hivi hapa ilikuwaje? Nimecheka
Hajatoa hoja alikuwa anakejeri Rais,Mpina ametoa hoja umesikia Kuna mtu anamuandama?Mh. Bushiru katoa hoja kama watanzania wengine, kinachotakiwa ni kumjibu kwa hoja - sasa mnapokuja kwa maneno ya kejeli na kumtisha sidhani kama inasaidia, hoja ipo mezani ijibiwe tushuhudie.
Hapa mnanikumbusha msemo wa yule mzee wa Shule ya siasa kwamba - Koleza moshi wahuni lazima wataibuka tu... 😀
ok kwanini unatukanaga wapinzani? Au ndo wanapandhsha beiMimi ni chawa wa mambo ya msingi siyo haya kipumbavu!
Maharage kilo 4000...
Halafu ni mrundi.Saidi Bagaile hata wewe ?
Huyu jamaa hana kazi za kufanya?Hizi sarakasi zinazoendelea ngoja tuandae popcorn [emoji897] , Dr Bashiru atapigwa pressure hadi ajiuzuru!
View attachment 2423008
kama ingekuwa ni upuuzi usingewaibua vigogo tena tunaowaheshimu na kutoa maneno ya kejeli - mimi naamini Dr. Bushiru kaweka mzigo wa kutosha mezani ambao unahitaji majibu ya kina. Huu si muda wa kuhamaki.Hajatoa hoja alikuwa anakejeri Rais,Mpina ametoa hoja umesikia Kuna mtu anamuandama?
Hoja za Mpina zinahitaji majibu sii upuuzi wa Bashiru.
Asiwaibue kwa kumkejeli Mwenyekiti? Unadhani angeishia tuu kusema wakulima wawatishe watawala Nani angehangaika nae?kama ingekuwa ni upuuzi usingewaibua vigogo tena tunaowaheshimu na kutoa maneno ya kejeli - mimi naamini Dr. Bushiru kaweka mzigo wa kutosha mezani ambao unahitaji majibu ya kina. Huu si muda wa kuhamaki.
Ila amekatwa kwenye nafasi za unec mkoa na taifaHajatoa hoja alikuwa anakejeri Rais,Mpina ametoa hoja umesikia Kuna mtu anamuandama?
Hoja za Mpina zinahitaji majibu sii upuuzi wa Bashiru.
Atulie tuHizi sarakasi zinazoendelea ngoja tuandae popcorn [emoji897] , Dr Bashiru atapigwa pressure hadi ajiuzuru!
View attachment 2423008
Mambo ya msingi kuuwa watu na kuwatupa kwenye viroba? Au ushamba wa kuteka watu kwako ndio mambo ya msingi?Mimi ni chawa wa mambo ya msingi siyo haya kipumbavu!
Maharage kilo 4000
Unga kilo 2000
Mchele kilo 3500
Mafuta ndio kama hivyo
Bidhaa za ujenzi ndio usiseme..
Siwezi kuwa chawa kwa ujinga huu