Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Bashiru alirudisha lini kadi ya CUF. Hatujui namba ya kadi yake ya CCM

Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Bashiru alirudisha lini kadi ya CUF. Hatujui namba ya kadi yake ya CCM

You dont listen to politicians ambao wanatetea matumbo yao...unasikiliza wale wanaorisk maisha yao na nafasi zao kwenye siasa kusema ukweli....

Huyu ndugu yetu niwakuupuzwa tu...
Wanasiasa watatoana macho mwaka huu
 
Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?

Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
huo ni ujinga.kama umeteuliwa ndo unatakiwa kuwa zombie?huyu jamaa bado ana akili za kitoto sana cjui atakua lini.
 
Angalia hii kereng'ende,sasa kama mlikuwa na Mashaka kuwa yeye ni CUF ilikuwaje mkampa jukumu la kukagua mali za CCM, akawa Katibu Mkuu wa chama chenu, mkampa ubalozi na akawa Katibu Mkuu Kiongozi? Unauliza swali linalosaidia kuanika ujinga wako!
 
Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?

Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Kuna watu wengi wanajua Kilichompata bwana yule mpaka akapoteza uhai na BASHRU anajua yote .nashauri CCM iachane naye.akiamua kumwaga mboga sijui mtajificha wapi.bora kunyamaza
 
Hizi sarakasi zinazoendelea ngoja tuandae popcorn [emoji897] , Dr Bashiru atapigwa pressure hadi ajiuzuru!

View attachment 2423008
Nchi kama haina wenyewe kwa kweli. Kiongozi wa juu bado anapambwa sana. Hawezi kukosolewa. Huyu nae anakuja na pambio ili apate teuzi. Nchi kama hiyo ni kama inajisukuma tu kwa upepo.

Hii nchi ili iwe imara tunahitaji akina Bashiru hata wanne tu. Nchi itasimama imara,sio hawa akina kingwangala wachumia tumbo
 
Siasa ni unafkitu. Wa kweli ni wachache sana. Wengi ni walamba Viatu. Ndio maana nchi haiendelei maana wengi wapo kwa Ajili ya Matumbo yao.

Hawa wakina kingwangala ni watu wabaguzi sana.

Mbona Hawakumwuliza Mwenyekiti wao alipo mteua Ndugu bashiru ualali wa mwanachama wa Cuf kupewa ukatibu MKUU wa CCM?

Hawa wanajua kilicho muua Magufuli sio bure kuna mkono wa MTU. Maana haya tunayo yaona sio bure ukweli utajulikana soon.
 
Mh. Bushiru katoa hoja kama watanzania wengine, kinachotakiwa ni kumjibu kwa hoja - sasa mnapokuja kwa maneno ya kejeli na kumtisha sidhani kama inasaidia, hoja ipo mezani ijibiwe tushuhudie.

Hapa mnanikumbusha msemo wa yule mzee wa Shule ya siasa kwamba - Koleza moshi wahuni lazima wataibuka tu... 😀
Hajatoa hoja alikuwa anakejeri Rais,Mpina ametoa hoja umesikia Kuna mtu anamuandama?

Hoja za Mpina zinahitaji majibu sii upuuzi wa Bashiru.
 
Hajatoa hoja alikuwa anakejeri Rais,Mpina ametoa hoja umesikia Kuna mtu anamuandama?

Hoja za Mpina zinahitaji majibu sii upuuzi wa Bashiru.
kama ingekuwa ni upuuzi usingewaibua vigogo tena tunaowaheshimu na kutoa maneno ya kejeli - mimi naamini Dr. Bushiru kaweka mzigo wa kutosha mezani ambao unahitaji majibu ya kina. Huu si muda wa kuhamaki.
 
Asiwaibue kwa kumkejeli Mwenyekiti? Unadhani angeishia tuu kusema wakulima wawatishe watawala Nani angehangaika nae?

Amekejeli Mafanikio ya Rais kwa wakulima na kukerwa eti na Rais kuupiga mwingi Sasa hapa anaachajwe?
 
Mimi ni chawa wa mambo ya msingi siyo haya kipumbavu!

Maharage kilo 4000
Unga kilo 2000
Mchele kilo 3500
Mafuta ndio kama hivyo
Bidhaa za ujenzi ndio usiseme..

Siwezi kuwa chawa kwa ujinga huu
Mambo ya msingi kuuwa watu na kuwatupa kwenye viroba? Au ushamba wa kuteka watu kwako ndio mambo ya msingi?
 
Back
Top Bottom