Watu wanataka bei bidha ziwe himilivuMambo ya msingi kuuwa watu na kuwatupa kwenye viroba? Au ushamba wa kuteka watu kwako ndio mambo ya msingi?
Sawa but hoja zake ziko binding na ziko kwenye makaratasi ya CAG ,tunatumai wabunge wengine wataendelea kuzihoji akiwemo yeye.Ila amekatwa kwenye nafasi za unec mkoa na taifa
Huyu jamaa kipindi cha magu alikua anasifia kila kitu na kutukana watu humu leo anaita watu chawaMambo ya msingi kuuwa watu na kuwatupa kwenye viroba? Au ushamba wa kuteka watu kwako ndio mambo ya msingi?
Huu ni unafiki uliotukuka..!!Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?
Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Mimi sikuwa chawa wa mambo ya kipuuuzi kama haya yanayoendelea hivi sasaHuyu jamaa kipindi cha magu alikua anasifia kila kitu na kutukana watu humu leo anaita watu chawa
Sasa wapinzani na ccm wana tofauti ganiok kwanini unatukanaga wapinzani? Au ndo wanapandhsha bei
Mimi nmekuambia hadi 2025 mtachanganyikiwa kabisa!Hajatoa hoja alikuwa anakejeri Rais,Mpina ametoa hoja umesikia Kuna mtu anamuandama?
Hoja za Mpina zinahitaji majibu sii upuuzi wa Bashiru.
Haya majitu ni majanga kabisa.Ccm wapo serious na bashiru kuliko suala la umeme na maji
Kwa Nini? Safu si ndio zinapangwa Sasa hivi au?Mimi nmekuambia hadi 2025 mtachanganyikiwa kabisa!
Siyo wewe hapa juzi ulikuwa unamtukana Mpina kwamba hana hoja yeyote, leo tena unasema ana hoja ya kujibiwa baada ya Bashiru kurusha jiwe gizani?
Haya panganeniKwa Nini? Safu si ndio zinapangwa Sasa hivi au?
Ajenda yetu Ni Moja nayo Ni hii hapa 👇Haya panganeni
Hapana mkuu huyu jamaa hajaiba cheti mbali alirudia shule ya msingi akatumia jina la mtu mie huyu jamaa nimezipata taarfa zake Shinyanga sekondari (Shy-bush) kasoma pale vidatoYeye cheti cha watu cha shule alichoiba amerudisha lini?
Katibu mkuu CCM nae kuongea na wana habari! Ni ile kauli tu ndio imefurumua watu kiasi hiki?
Ukiona moshi ujue moto umewaka ....
ACHA UNAFIKI KIGWANGALAH HUO NDIO UNAFIKI WA KIWANGO CHA JUU KWANINI HAKUNA HATA MWANACCM ALIYEJITOKEZA KUULIZA KWENYE VIKAO VYA CHAMA CHENU?Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?
Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Wakati Profesa Kabudi anamuita Magufuli Mungu huyu mpuuzi alikuwa wapi?Hoja ya Bashiru ilikua straight kwamba "hakuna sababu ya kumsifia mtu anapotimiza wajibu wake na haswa inapokua haki yako ya msingi."
Hoja ya Bashiru ilikua straight kwamba "hakuna sababu ya kumsifia mtu anapotimiza wajibu wake na haswa inapokua haki yako ya msingi."
Bado anaota uwaziri wa maliasili, CCM kila mtu ni kujikoma kwa watawala huku akivizia uteuziHatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?
Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"