Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Naunga mkono hoja.Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?
Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Kwa mwandiko huu,sijui wewe una kiingereza cha kuombea nini?.Dr hamisi Ana kiingeleza Cha kuombea Maji.
Nimekosa , nimekosa mimi , nimekosa sana ...Je, Dr.Bashiru atatetea kauli na msimamo wake?
..Is he ready to pay the price and stand for what he said and believes?
..Gharama ninayoizungumza ni kushughulikiwa na dola kama inavyofanyika kwa wapinzani. Bashiru yuko tayari?
Cc Erythrocyte
Ilikuwa vita ya mwekezaji na wananchi , Hamisi alikuwa upande wa wananchi kama mbunge wao , huku kama kawaida serikali na polisi walikuwa upande wa MwekezajiHivi hapa ilikuwaje? Nimecheka
Hizi sarakasi zinazoendelea ngoja tuandae popcorn [emoji897] , Dr Bashiru atapigwa pressure hadi ajiuzuru!
View attachment 2423008
kupoje mkuuSijawahi kutembelea mitaa ya manzese sasa jana si nikasema ngoja nitembee nipajue vizuri, yaani CCM walaaniwe hakyanani
..Je, Dr.Bashiru atatetea kauli na msimamo wake?
..Is he ready to pay the price and stand for what he said and believes?
..Gharama ninayoizungumza ni kushughulikiwa na dola kama inavyofanyika kwa wapinzani. Bashiru yuko tayari?
Cc Erythrocyte
Njoo tukae hapa tusikilize woteNgoja nivute kiti
mbona magu mlikua mnamsifi alipo kua anatimiza wajibu wake, leo hamtaki, acheni unafiki nyie wanaccm, yote kwa yote msurubishane tuHoja ya Bashiru ilikua straight kwamba "hakuna sababu ya kumsifia mtu anapotimiza wajibu wake na haswa inapokua haki yako ya msingi."
ok mkuuMimi sikuwa chawa wa mambo ya kipuuuzi kama haya yanayoendelea hivi sasa
Hajatoa hoja alikuwa anakejeri Rais,Mpina ametoa hoja umesikia Kuna mtu anamuandama?
Hoja za Mpina zinahitaji majibu sii upuuzi wa Bashiru.
Nani kasema? Kesho atakuwa Manyara karibu uone..Eti inasemekana mama yako ana low popularity kisiasa sasa hv...eti ni kweli?!
Nani kasema? Kesho atakuwa Manyara karibu uone..
Pili hukuona Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na Kigoma?
Ujinga wa mitandaoni ambako Chadomo huwa wanaongoza kwa mafuriko ndio reference yako?Kaangalie twitter ya shangazi
Ujinga wa mitandaoni ambako Chadomo huwa wanaongoza kwa mafuriko ndio reference yako?
Hao kina shangazi ndio wapiga Kura? Humu kwenye mitandao huwa mnajifariji Sana