Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Ujue issue sio priorities

issue ni maisha ya mfiwa mitandaoni...yuko perceived ana 'hadhi' flani...hivyo wadau hawakutarajia kwa maisha yale kwao pako hivi

Mtu wa kawaida anaejulikana hana uwezo hio ni nyumba ambayo hatokua 'judged' kuhusu viwango vyake

tunampa Poleh sana
Ila tuchukue somo la kuboresha maisha yetu ktk uhalisia tusiishie mitandaoni tu
 

That is standard african house

Unataka ajenge nyumba ya kama ya bakhresa kijijini?
 


At least una hoja...

ila inabaki kuwa sio sheria kwamba lazima kila mtu aifate...

watanzania tuwe na culture ya kutofuatilia maisha ya mtu na kipato chake....

wewe unajenga kwenu sababu umeona kuna ulazima mkitembelea kijijini muwe na nafasi na watoto wako, mwingine akitoka kijijini hana mpango wa kurudi tena, (Wapo kibao Dar).....kila mtu aheshimiwe choices alizozifanya maishani....

Sababu mkitoka kuweka basic need ya wajukuu mtataka muweke kila nyumba iwe na ghorofa as standard measure..ukielewa kuwa tunatofautiana kipato na maamuzi/choices..mambo ya wengine hayatakusumbua...
 


Mnhhhh sasa imekua sio tena nyumba bali Maisha ya Instagram??, huko wangapi wana fake maisha..?? wachache sana wanaishi real life kule insta..ni wazi mtu unakua tempted kuweka posts fake kama majority na wao wanaweka fake.....again ni Maisha ya mtu aliyochagua,,,, hukupenda fake life huko insta ukaweka real life,mwenzako akachagua kuweka fake...why are you bothered na fake life ya mtu...
 
We are not bothered...rather mhusika anakua kaumbuka kiasi fulani.,

mi nimepata tu fundisho kuwa misiba ndo mwisho wa reli...ni tuendelee kuweka majumbani kwetu vizuri...kwa faida yetu ya miisho tutakayofikia

mana tusimseme tu mfiwa hapa wkt kila mtu anajua kwao kuko vipi
 

Kanuni ya binadamu yeyote anayejitambua na aliye na akili hai kichwani lazima awe na sehemu nzuri ya kulala,take it from me,awe maskini asiwe maskini atatamani kupata mazingira mazuri ya kupumzika.

Nakotokea vijana bodaboda wanamiliki nyumba za maana PhD holders wa mijini hawazimiliki kutokana na kuwa na mentalities kama zako,hewa safi ilikuwepo that's why nai-miss naifuata sasa kama kwenu kuna vumbi sana ni wewe.tuwe concerned na familia zetu kivipi?uzae watoto uwe mvivu kufanya kazi au ulewe hovyo utegemee ndugu kukutunzia familia yako how?

Kwetu hakuna hizo favor,kanuni ni “ISHI KWA AKILI ULIYOPEWA KUKABILIANA NA MAZINGIRA YAKO”,utasaidiwa kwa sababu maalumu siyo kwa kujilegeza,unadhani tungekuwa tumedekezwa kama unavyotaka wewe kizazi hiki kingekuwa na mwamko kiliokuwa nao?nikuache hakuna mwanamke mwenye uchungu wa kuendeleza kwao navyobishana na wewe hapa wewe siyo mtu sahihi alitakiwa awe kaka yako au mdogo wako.
 
Mkuu kibongo bongo heshima nyumba hafu watu wasipojenga huko kijijini miji itakua lini?
Hafu kujilinganisha na nje sio sawa na huku kwetu Tziii
 
Hawa watu wanaopinga kujenga vijijini kwetu sijui wanatumia akili gani??..
 

Kanuni number moja; kujenga kijijini sio kanuni/standard formular kila mtu aifate.

Kanuni number mbili; una hati miliki na chako,cha mwenzio sio chako...namaanisha kinachoingia kwenye mfuko wa mwenzio usishoboke nacho....

Kanuni number tatu; Maisha ya Insta ku fake sio kitu cha ajabu...mwacheni kaka wa watu amalize msiba wake kwa Amani...
 
Nani kakwambia Mimi sina nyumba kijijin kwetu? [emoji23][emoji23]



Hapa jf hatufahamiani kiuhalisia.




Nitafe inbox nikuonyeshe
Mentality yako ni mtu fulani mshamba mshamba, mwenye kuhis utajiri wa ndugu ni wake pia, wenye nacho, huwa hawana janja janja ya kufanya show off aimlessly.
 
Halafu watu hujenga nyumba nyumbani kusisahaulike na siku ukifariki lazima uingizwe kwanza ndani, kimila kwetu lazima mtu ajenge nyumba ili siku ya mwisho usizalilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…