benjamin kayombo
Member
- May 29, 2020
- 31
- 23
Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri,hata kuweka curtains tu kumemshinda ?Kashindwa kuendeleza kwao ndo huyu anataka ubunge ????Au anataka ubunge ili anufaike ?Aibu hii.Maisha ya social media bwana........
Kwa kweli tumsubiri amalize msiba alafu nasaha ziendeleeKanuni number moja; kujenga kijijini sio kanuni/standard formular kila mtu aifate.
Kanuni number mbili; una hati miliki na chako,cha mwenzio sio chako...namaanisha kinachoingia kwenye mfuko wa mwenzio usishoboke nacho....
Kanuni number tatu; Maisha ya Insta ku fake sio kitu cha ajabu...mwacheni kaka wa watu amalize msiba wake kwa Amani...
watu maarufu wanambwe mbwe tu za kwenye mitandao pamba kali,jina kubwa, ila kiukweli hawana pesa.
Duuuh.... kweli nimeamini ni wachaga pekee ndo tunapenda nyumbani. Hii ni aibu aisee.
Hivi mtu kama Tale amekosa milioni 50 kuwa na nyumba ya heshima kijijini?
Mimi sio celebrity useme na post ni life lao ig linafanya watu wa judge,hata wewe ukiwa maarufu utasemwa tu Hadi suruali utakayovaa.Post mapazia ya nyumbani kwako mkuu, na sisi wakina tale wa Jf tupate chachu
Hapa ndipo ninapowapa saluti wachaga, wale viumbe wanajenga kwao wale[emoji119][emoji119][emoji119]
Ukitaka kujua uhalisia wa maisha ya watu ni wakati wa magonjwa na misiba.
Nani kalazimisha Sasa mitazamo haiwezi kuwa sawa kila mtu na perception yake, ka wewe usivoamini ujenzi kijijini na wengine wanaamini kujenga muhimu, that's lifeNyinyi mnaolazimisha watu waishi kulingana na standards zenu , mnatumia akili gani ?
Si kweli kwamba wanao post maisha yao mitandaoni wote ni celebrities, wengine ni nobodies ila wana post.Mimi sio celebrity useme na post ni life lao ig linafanya watu wa judge,hata wewe ukiwa maarufu utasemwa tu Hadi suruali utakayovaa.
Mimi pazia langu la buku ten mkuu, ni raia wakawaida kabisa na sio ka yeye manager.
Bado hujanielewa my collegemate. Huyo niliyemuuliza anasema wanaokataa kujenga vijijini wanatumia akili ganiNani kalazimisha Sasa mitazamo haiwezi kuwa sawa kila mtu na perception yake, ka wewe usivoamini ujenzi kijijini na wengine wanaamini kujenga muhimu, that's life
Kusoma ni kuelewa, ukiona kitu hukielewi basi tambua haujaandikiwa wewe.Tribalism is Worse than racism " Wachaga wanatoka wap hapa Kuna mada ya tale.
Sasa ukiwa maarufu lazima kila Jambo lako limulikwe Mimi naweza post chochote na isiwe shida tofauti na akipost mfano Zari kitu kile kile ninacho ki postSi kweli kwamba wanao post maisha yao mitandaoni wote ni celebrities, wengine ni nobodies ila wana post.
Kanuni number moja; kujenga kijijini sio kanuni/standard formular kila mtu aifate.
Kanuni number mbili; una hati miliki na chako,cha mwenzio sio chako...namaanisha kinachoingia kwenye mfuko wa mwenzio usishoboke nacho....
Kanuni number tatu; Maisha ya Insta ku fake sio kitu cha ajabu...mwacheni kaka wa watu amalize msiba wake kwa Amani...
Nimekuelewa Sana Ila ana logic behind watu wakitoka kijijini kwao hupatelekeza Kama wao walipata neema kwanini wasiwe mfano kubadilisha kwao Charity begins at home bwana sehemu nyingine Zina wasomi wengi Ila vijijini kwao hata vyoo hawajengi. Naamini tuwe active agent wa Hadi huko vijijini bwanaBado hujanielewa my collegemate. Huyo niliyemuuliza anasema wanaokataa kujenga vijijini wanatumia akili gani
Na mimi nimemuuliza wanaotaka watu waishi kulingana na mitazamo yao wanatumia akili gani ?
Upo hapo ?
Pia inategemea ulichopost ni kwa namna gani kinagusa hisia za watu. Kuwa celeb peke yao sio issueSasa ukiwa maarufu lazima kila Jambo lako limulikwe Mimi naweza post chochote na isiwe shida tofauti na akipost mfano Zari kitu kile kile ninacho ki post
Mwache kwanza amalize msiba ndo uje kumsema ujui uchungu wa kufiwa na mke mkuu
Na mnavyomsema Tale inawahusu nini?Ili tumfurahishe nani man?
Kumbuka tunatoka kwenye jamii tofauti tofauti, kuna jamii ambazo miaka na miaka zina utamaduni wa kujenga maeneo yao ya asili. Hawa ndio wakifa lazima wakazikwe huko vijijini kwao.Nimekuelewa Sana Ila ana logic behind watu wakitoka kijijini kwao hupatelekeza Kama wao walipata neema kwanini wasiwe mfano kubadilisha kwao Charity begins at home bwana sehemu nyingine Zina wasomi wengi Ila vijijini kwao hata vyoo hawajengi. Naamini tuwe active agent wa Hadi huko vijijini bwana