Hamissa Mobetto ametua Jana akitokea Dubai, Diamond yuko wapi kwa sasa?

Numbisa bana ....huo ustrong wa Zari ni mbaya kuliko huyo anayeumia live coz anatoa sumu!

Tatizo anapenda sifa za mitandaoni, yaan ye kila kitu anafanya show off...kumbe moyoni anaumia vibaya vibaya!

Watu kama hao ndo wanapataga Heart attack, depression n.k.
 
Numbisa bana ....huo ustrong wa Zari ni mbaya kuliko huyo anayeumia live coz anatoa sumu!

Tatizo anapenda sifa za mitandaoni, yaan ye kila kitu anafanya show off...

Watu kama hao ndo wanapataga Herat attack, depression n.k.
Absolutely true!!
Siongezi
 
Mzazi mwenzie kwani kuna shida! Mtoto alikuwa hajazibuliwa ngoma ya sikio
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] my young sisyy mondi hatoshuka never ever kwa sababu ya zari kaa ukijua hiloooo

Dai walisema atashuka akimuacha wema!!!wapiii

Atashuka kwa kua muda umefika!

Who iz Zari?by the way?anamtungiaga nyimbo?

Zari akimuacha diamond tunamsahauii mazimaaaa.am telling today 17th of Nov 2017.I swear Zari is nobody kwenye mziki wa dai
 
Diamond hamheshimu Zari kabisa, mark my word! Yaani ni ile " akufukuzae hakwambii toka" yaan Domo kamchoka tukinao ni ile tu basi

Mi mtu wa karibu kabisa na Domo kaniambia uhusiano wa tununu na domo uko vile vile na Domo kafa kaoza kwa chuchunge
Bitter ukweli!
 
Wema atulize kipago yule kwa sasa analiwa msingi kulipiwa hoteli tuu!no more luv!

Sijui mondi anampenda nani kati ya hawa daaah
Mondi akiwa pale Wasafi ( off camera)..Anadai kuwa.................

mwanamke anayempenda kutoka moyoni kiukweli ni PENNY ( wapiii vpenny ukuje huku unapendwa,)...tatizo linakuja wapi penny hataki tena uhusiano na yeye, only be friends ...

Anasema laiti penny angecompromise ndiye mwanamke ambae angeweza kumtuliza na hiyo hali ilikuja baada ya kuachana na penny ndo akajua moyo wake umemdondokea
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji108] [emoji108] penny katulia sana kana akili mnooo!nakapenda haswaa

Ndo maana anapendwa ana msimamooo"!
 
Lets wait and see. Alishuka mr nice kimchezo mchezo sembuse dai

Zari ni zari tu strong woman.
 
Zari showoff hajaanza jana au leo tena vitu vingi mno kaanzisha mitandaoni na wadada wa hapa wanaojiita wa mjini wakaiga. Kama ni kuumia keshaumia sana enzi za ivan na kufa hajafa ndo kwanzaa anazidi kutawala midomon mwa watanzania

Sema tu hamumpend ndo maana hamuelew akifanyacho. Kila mwanamke atakae zaa na dai mtahamia kwake mkidhan zari anakomolewa ila zari atabaki zari tu.
 
Mmh mara hamisa mara wema mara tunda now penny ndie anayependwa aiseee kisa kuonyesha zari hana thamani.

Ukweli haukwepeki zari ndio kawafungua wadada wa kibongo mastaa kuwa kutoa mimba kisa wanaogopa kuharibiwa watoto kwa sura mbaya za wapenzi wao sio dili

Huyu penny si ndie aliesema dai hana uwezo wa kuzalisha mwanaume mara ana sura mbaya atamharibia watoto kiko wapi now!

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji108] [emoji108] penny katulia sana kana akili mnooo!nakapenda haswaa

Ndo maana anapendwa ana msimamooo"!
 
Jamani kwani ni wapi Huyo Daimond Kakutwa anafukunyua chini mwa Hamisa Mobeto? au ni photo shop tu? Tuache kukuza maneno Kwa kweli watanzania kwa Kushadadia ya Watu Kiboko......

Hizo Nguo alikuwa nazo Dubai? Je kama kila mmoja alienda kivyake kulikuwa na limitation ya Kuonana au? Ila Kweli Wabongo kazi tunayo.....

Tuache hizo...
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji108] [emoji108] penny katulia sana kana akili mnooo!nakapenda haswaa

Ndo maana anapendwa ana msimamooo"!
Sanaaaa asee ...hata mi nampenda sana huyu Dada japo mtu wa kujidunga daily hapo tu ndo tatizo
 
Jamani nimemiss kusoma post yeyote ile ya miss chaga, mwambieni aposti chochote ama acoment uzi wowote nitambue uwepo wake wandugu
 
No man can fall in love with hamissa,,,,,tamaa tu ndio zinawapeleka pale,,,matter of fact kipindi nipo chuo,mshikaji wangu alikua anamla hamissa,,and they met at bills,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…