papa iliyotoa watoto sita na papa iliyotoa watoto wawili ushajua tamu ni ipiDiamond hamheshimu Zari kabisa, mark my word! Yaani ni ile " akufukuzae hakwambii toka" yaan Domo kamchoka tukinao ni ile tu basi
Mi mtu wa karibu kabisa na Domo kaniambia uhusiano wa tununu na domo uko vile vile na Domo kafa kaoza kwa chuchunge
aliyewalegezea nati mnamjuaNa sifa za mitandaon kuitwa kiboko ya fulan atamuachia nani. Wanawake sie akili zetu uwiii sijui nani alitulegezea nati za ubongo
Wanawake wa kibongo wana roho za wivu sana, apo roho zinawauma tu, mwenzao akitusua,Wabongo kwa kuunganisha Matukio hawajambo aiseee.., Aidha Wanawake wanaolewa na wabongo maarufu inabidi wapatiwe mafunzo maalum ya ukakamavu wa Moyo na Roho!!!
Uchi matunzo tu, hata Dai anaweza sema ya Zari ina mnato zaidi.papa iliyotoa watoto sita na papa iliyotoa watoto wawili ushajua tamu ni ipi
kabisa kabisa, mtoto kama "Cleopatra"! Ila majanga, hasa kama unazo, lazima akulengeshe tu..Kwa huo mvuto wa hamisa hata
Ww usngemuacha
Wamuone Dr ShikaWabongo kwa kuunganisha Matukio hawajambo aiseee.., Aidha Wanawake wanaolewa na wabongo maarufu inabidi wapatiwe mafunzo maalum ya ukakamavu wa Moyo na Roho!!!
Naaam., yule Mbobezi anaimudu vema kazi hiyo!Wamuone Dr Shika
Esma na uchizi wake kwa madiba kumemshinda!
Hivi hata kwenda kusalimia sijawahi ona clip yake akitua SA
Esma na uchizi wake kwa madiba kumemshinda!
Hivi hata kwenda kusalimia sijawahi ona clip yake akitua SA
Kila silaha itatumika kutimiza lengo...Mmh mara hamisa mara wema mara tunda now penny ndie anayependwa aiseee kisa kuonyesha zari hana thamani.
Ukweli haukwepeki zari ndio kawafungua wadada wa kibongo mastaa kuwa kutoa mimba kisa wanaogopa kuharibiwa watoto kwa sura mbaya za wapenzi wao sio dili
Huyu penny si ndie aliesema dai hana uwezo wa kuzalisha mwanaume mara ana sura mbaya atamharibia watoto kiko wapi now!
Hahaaahaa!hatariiiiTatizo Esma hajui kiingereza, we unafikiri Kwa Madiba wanaongea kizaramo kule kama Msanga?
Hata mimi huwa nahisi kuwa petit analelewa yule, maana ni full mariooEsma wa kawaida mno sema insta anajipaisha tu. Hapo alipo anamlea petit kwa pesa za dai na biashara
Alishaenda mara moja na petit wakat zari akiwa uganda
Kuuuumbe?Tatizo Esma hajui kiingereza, we unafikiri Kwa Madiba wanaongea kizaramo kule kama Msanga?
Kuuuumbe?
Buuut....si ataongea na Zari coz kiswahili anajua?
hii picha ni yako? km yako njo pmHaki hivi viumbe havieleweki asee..
Mwanaume ukimuonesha unampenda sana huwa anageuka, anajua huna pa kwenda
Refer na Wema kumfanyia hadi birthday kwa gharama zake!??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Yaani hapo Wema kategesha kwa Domo amrudie khaaa!
Hana ustrong wowote...mlaini tu kama mkate mbele ya chai.Numbisa bana ....huo ustrong wa Zari ni mbaya kuliko huyo anayeumia live coz anatoa sumu!
Tatizo anapenda sifa za mitandaoni, yaan ye kila kitu anafanya show off...kumbe moyoni anaumia vibaya vibaya!
Watu kama hao ndo wanapataga Heart attack, depression n.k.