Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

MUNGU hajawahi kukosea uumbaji kamwe!
 
Unaamini hivyo na hakuna ushahidi wa kisayansi.
 
You had an inborn bad character, only to link it with tattoos!
 
Fuatilia mwisho wao, utapata majibu, Anaweza asiadhibiwe yeye, ukapigwa uzao wake, ni kanuni ndivyo inavyosema
Nakazia...[emoji124]

KUTOKA 20:5

[5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
 
Afrika imechelewa kuendelea,
Kila kitu ni kipya kwetu acha twende taratibu tutakuja kujua ulimwengu ukoje na sie tunauchukuliaje baadae tutaenda nao sawa,

Ni suala la muda tu.
WAEBRANIA 13:8.

Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele.

Binadamu ndiyo vigeu geu lakini duniani hakuna kipya ambacho hakikutabiriwa katika BIBLIA takatifu.

Shida yenu ni wavivu kusoma NENO LA MUNGU "BIBLIA" ndiyomaana mnayumbishwa na hadaa za dunia kama mawimbi.
 
Unaamini hivyo na hakuna ushahidi wa kisayansi.
* Sayansi ina ushahidi gani uwepo wa roho/uhai/pumzi unayovuta ikiwa siyo proved kama ni tangible na visible?

* Sayansi ina ushahidi gani juu ya chanzo cha huu ulimwengu na viumbe vyote rohoni (vinavyoonekana na visivyoonekana) mfano ukiwa unaota ndoto.

* Sayansi ina ushahidi gani juu ya maisha ya Binadamu kuhusu baada ya kifo?

Kumbe kujitoa ufahamu ni kipaji?
 
Hii kitu uliyoandika wengi hawaielewi ila ukweli ni kwamba ukishachora tatoo mwili wako unakuwa wazi (exposed) kuingiwa na roho chafu na mambo yote mabaya yatakuhusu iwe physically au spiritually kwasababu kitendo cha kuchora tatoo tayari mwili wako umeshakuwa ubao wa matangazo kwenye ulimwengu wa giza.. no way to escape utaishi kwa utatanishi sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…