Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

Ndio utupe uthibitisho wa haya unayoyaongea sasa au na wewe ni wale mnaotudanganya kwamba mmefunuliwa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hilo mnalosema ni neno la MUNGU limeletwa kwenu na hao hao wachora tattoo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo mnaojifanya watu wa rohoni (mambo ya kusadikika) hua mnajikuta wajuaji sana na ole wa mtu atofautiane na story zenu mnamshukia kama mwewe na kumpa majina yote mabaya mabaya

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Naomba chanzo Cha hii taarifa tafadhali

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Messi Hana tabia chafu Wala Hana makuu, halafu Kuna wenye hawana tattoo na ni wana tabia chafu hatari

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Na kuna wenye hawana tattoo na ni wana tabia chafu hatari

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Messi Hana tabia chafu Wala Hana makuu, halafu Kuna wenye hawana tattoo na ni wana tabia chafu hatari

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
We Messi unakuwa nae kila alipo!?..alipokua akiwatukana mashabiki wa timu pinzani baada ya kufunga kwamba wao makma na mama zao malaya ulikua tayari ushaanza kuangalia mpira!?
 
Mimi ndiye ninayekupa ushuhuda wangu halafu wewe unaleta ujuaji.
Haya simulia kingine kuhusu maisha yangu, maana inaonekana unanijua sana
Unaambiwa, hizo tabia zako mbya, hazikusababishwa na tattoo, ni kichwa chako tu kibovu, tattoo sio ubongo, Kuna wenye hawana tattoo na ni wana tabia chafu hatari, na Kuna wenye tattoo na ni watu wema sana tu, haya umeelewa sasa?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
By the way, ulishawahi kukutana na Rastafarian ambaye ni kituko? Je, huwa wapo Rastafarians wa aina hiyo?
 
Usiseme hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri Bali sema hamna mtu unaemjua mwenye tatoo mwenye tabia nzuri.

Inawezekana wengine wamesaidiwa na watu wenye tatoo na wanawaona ni watu wema.

Tabia mbaya haitokani na tatoo ila mtu mwenye tabia mbaya anakua na tabia mbaya haijalishi anatatoo au Hana.

Tunaweza kuanza kufuatilia watu wenye makosa makubwa mfano wauwaji na wabakaji tukajua wangapi wanatatoo na wangapi hawana.

Mafisadi wa Mali za umma tukangalia wangapi wanatatoo na wangapi hawana.

Baada ya hapo tunaweza kuja na hitimisho.

Pia tunaweza kuangalia watanzania wenye tatoo na wafilipino wenye tatoo ni wapi wenye matatizo na kwanini.

Nadhani watanzania wengi wanaochora tatoo ni kundi la vijana wanaoiga maisha kuanzia mavazi na life style kwa ujumla.
Kundi Hilo ndani yake kuna asilimia kubwa ya vijana wenye mawazo na akili finyu sana na huchora tatoo kuonyesha wao ni wajanja na kumbe ni wajinga na kuiga pia kutumia mihadarati na tabia za ugomvi.

Fuatilia nchi nyingine pia utakuja na mtazamo tofauti sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…