Hamna tatizo la nguvu za kiume, epuka kutapeliwa

Huna nguvu za kiume Mangi wahi katafute juice ya tende na maziwa ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Nguvu za kiume ni pesa wewe ogopa unakutana na mdada kama Lamomy nae ananguvu za kiume๐Ÿ˜„
 
Kuna miti shamba huku njooni
 
Male strength problem should be taken as unimportant issues in someone life. People needs to focus on importants issues of their economic rather than BS.
 
bila shaka umeandika hivi nusu bila kutaja hiyo mitishamba uliyotumia kusudi wana humu wakuulize huo mti dawa wanaupataje ama kweli biashara matangazo..bila shaka sahizi unawangoja inbox.!
 
Nilisoma hii nyuzi nikaona mizinguo tu, nikapita vile ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Ukishakutana na wanaume wenye vile vibao vifupi vifupi kama mlio wa simu ndiyo utaelewa hili tatizo lipo. Either hasimamishi mnara, hata ukisimama bado mlegevu kidogo au akijaribu kuunganisha hivyo vibao vyake dakika 2 hafiki wazungu hao.

Kiufupi ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Anyway kuna tafiti za kutosha kuhusu hili tatizo, kubisha ni ujinga tu.
 

Attachments

  • IMG_2297.jpeg
    367.1 KB · Views: 2
Vibao vipi mshangazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ