Hamna tatizo la nguvu za kiume, epuka kutapeliwa

Siyo tatizo ni matatizo maana ni mengi yapo kwa asilimia 100
 
Kwahiyo mizuka mnaipata kwenye sura za baba zao??

Wewe unawakana wanaume wenzio wanaoangalia nyash?!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Siwakani, kuangalia nyash ni burudani nyingine hiyo, nichukulie kama kuangalia nguo dukani, unaipenda ukishaivaa inakuboa unaigawa.

Ndiyo mfano wake huo.

Hata mimi huwa nachuruzikwa sana na udenda nikiona zegembe linazagaa, lakini kwenye kuzamisha upendo ni issue nyingine kabisa maana unaamgukia popote bila kujali mtu amekaakaaje.
 
Weka miti hapa usaidie watu mkuu, au we ndio mganga unataka wakutafute?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ