Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
No reform no election
Tuko Full Bando, full ChajiSawa mkuu SI wengine tunaendelea kufatilia mabandiko yenu
Tunawaangalia wazee wa code na watabiri wa JFTuko Full Bando, full Chaji
Na manabiiTunawaangalia wazee wa code na watabiri wa JF
Wengine wachangamsha jukwaa tuNa manabii
NaamWengine wachangamsha jukwaa tu
Huyu dogo anahitaji kusaidiwa kisaikolojia.C mnasema hakuna uchaguzi, Mbona tena unasemea wabunge wa ccm?
Kwa nini apigwe chini?Mkuu Mimi kama Mtanzania, nasema, hamna Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 bila mabadiliko.
Watu muelewe, Bila Samia kupigwa chini hapatakua Mabadiliko .
Kwahiyo kwanza, Samia Apigwe chini, asilete Genge lake la Wahuni .
Duuhh Kuna sababu zaidi ya Bilioni za kwann Samia Apigwe chini.Kwa nini apigwe chini?
š¤£š¤£š¤£š¤£ Iwe Kwa Mtutu wa JW, au Kwa Ndele, kikubwa Haya maharamia yapumzishwe.Inasemekana uchawi wa Kilwa Kaskazini umepiga hodi ikulu. Majina yote yaliyoandaliwa kusomwa yanasomeka matusi.
Endelea kupiga ramli ila moto upo pale paleMamaeeee mmepigwa na kitu kizito Leo š¤£š¤£š¤£
Walisema mwezi wa saba mama ana achia ngazi ila huoooTunawaangalia wazee wa code na watabiri wa JF
No reforms no election kumamakeh.Utaumbuka tu
We usiwakatishe tamaa jukwaa litapoaWalisema mwezi wa saba mama ana achia ngazi ila huooo
Taja mbiliDuuhh Kuna sababu zaidi ya Bilioni za kwann Samia Apigwe chini.
Kwanza nitatukanwa hapa šWe usiwakatishe tamaa jukwaa litapoa
Tunawaambja, Chawa anzeni kujiandaa, hamsikiii.Endelea kupiga ramli ila moto upo pale pale
Sina muda mchafuTaja mbili