Hamna Wabunge wa Mfukoni ,Taifa haliwezi kua na Wabunge Machawa !Machawa mmepigwa!! PIGO la Kwanza 🤣🤣

Hamna Wabunge wa Mfukoni ,Taifa haliwezi kua na Wabunge Machawa !Machawa mmepigwa!! PIGO la Kwanza 🤣🤣

Mkuu Mimi kama Mtanzania, nasema, hamna Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 bila mabadiliko.


Watu muelewe, Bila Samia kupigwa chini hapatakua Mabadiliko .

Kwahiyo kwanza, Samia Apigwe chini, asilete Genge lake la Wahuni .
Apigwe chini kisa nn.
Mna hojà zenye mashiko ili na ss mtushawishi
 
sio tu machawa, tunahitaji akili pale bungeni, kipengere cha kujua kusoma na kuandika kitolewe tuache kuwa na wajinga maeneo muhimu yanayohusu maslahi mapana ya Taifa.

ndani ya mitaa ya Khost - Afghanistan.
 
Back
Top Bottom