inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
🤣🤣🤣 NyumbuSina muda mchafu
🤣🤣🤣 NyumbuSina muda mchafu
KImbia haraka kabla wenye hasira Kali wajafikaKwanza nitatukanwa hapa 🙏
Uyooo 😂KImbia haraka kabla wenye hasira Kali wajafika
Ww endelea kupiga domo tuu Ila uchaguzi upo na samia atashinda kweupe, mm sio ccm wala sio chadema ila huo ndio ukweliTunawaambja, Chawa anzeni kujiandaa, hamsikiii.
Haya shauri yenu
Hata bi🐸n chawa wa jkTunawachoraaa tuuuu
Taifa haliwezi kuongozwa na Machawa !!.
Imeishaaaaaaaa Kwa Leo !!🤣🤣🤣
Hii post mbona tayari kama kiunzi kimerukwa!?Duuhh jamaa wamefanywa MIOYO yao iwe Migumu íli Kila kitu wawe wanashangazwa
Sio huna muda mchafu, nyie endeleeni kupayuka tuu mana hamjitambuiSina muda mchafu
Kama Raisi mwenyewe ni chawa wa JK kuna shida gani kuwa na wabunge chawa,mimi sioni hata umuhimu wa Raisi hata hao wabunge,bora jeshi wachukue tu nchiTunawachoraaa tuuuu
Taifa haliwezi kuongozwa na Machawa !!.
Imeishaaaaaaaa Kwa Leo !!🤣🤣🤣
Wachaa wee!Inasemekana uchawi wa Kilwa Kaskazini umepiga hodi ikulu. Majina yote yaliyoandaliwa kusomwa yanasomeka matusi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣C mnasema hakuna uchaguzi, Mbona tena unasemea wabunge wa ccm?
Vipi tone tone huko mkuu?!! Inaendelea kukamuliwa au wananchi wamesanduka?!!!Kama Raisi mwenyewe ni chawa wa JK kuna shida gani kuwa na wabunge chawa,mimi sioni hata umuhimu wa Raisi hata hao wabunge,bora jeshi wachukue tu nchi
Hivi yule mheshimiwa aliye shindwa kula kiapo mbele ya Mheshimiwa Rais alikuwa anatokea wapi?Inasemekana uchawi wa Kilwa Kaskazini umepiga hodi ikulu. Majina yote yaliyoandaliwa kusomwa yanasomeka matusi.
Lkn wewe jamaa, ulifaa uwe comedy kama Mkojani, na mwenzako Samia huenda amemteua awe miongoni mwa watia niaHaoooo haooooo haooooo
Simu kapiga nani?Chawa wa mama huyoooo
Simu Moja tu mambo chaliii
Huko huko K KaskaziniHivi yule mheshimiwa aliye shindwa kula kiapo mbele ya Mheshimiwa Rais alikuwa anatokea wapi?
Umenikumbusha jambo la kusikitisha
Mmepigwa zaidi msiojua why pilato karudisha hukumu Kwa wenyeweTunawachoraaa tuuuu
Taifa haliwezi kuongozwa na Machawa !!.
Imeishaaaaaaaa Kwa Leo !!🤣🤣🤣
Serekali imepigwa chapa,yaani kuna Raisi wawiliVipi tone tone huko mkuu?!! Inaendelea kukamuliwa au wananchi wamesanduka?!!!