Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

Ushoga pia haupo Africa peke yake haitoshi kusema ushoga Ni halali kisa upo kila mahali
Sizungumzii uhalali nazungumzia kuwa hizo dini zipo na sehemu zengine hivyo hizo dhana za kuona kama hizo dini tumeletewa afrika tu hazina mashiko.
 
Sizungumzii uhalali nazungumzia kuwa hizo dini zipo na sehemu zengine hivyo hizo dhana za kuona kama hizo dini tumeletewa afrika tu hazina mashiko.
Dini na ushoga Africa zote zmekuja kwa mtindo mmoja sijasema tumeletewa Africa tu nmesema sio desturi zetu ndo maana zinatushinda kila kilichopo kwenye hiz din kipo kwa walegwa husika
 
Ebu kwanza, hiyo video nini kimetokea? 😁😁😁😁
 
Dini na ushoga Africa zote zmekuja kwa mtindo mmoja sijasema tumeletewa Africa tu nmesema sio desturi zetu ndo maana zinatushinda kila kilichopo kwenye hiz din kipo kwa walegwa husika
Kipi kinachotushinda kwa sababu sio desturi zetu? mkuu unalalamika bila kutoa ufafanuzi.
 
Islamic wengi ni waganga wa kienyeji,, hujiita wanatoa mashetani kwa njia ya kitabu cha dini yao huku uhalisia ukija kuwa ni matapeli na waganga wa kienyeji...

Wakristo ndio sina la kuongeza,, Wamekuwa wanapelekwa kama bendera..

Note: Dini tu yenyewe ni Mchongo.
 
Kama mtu hutamiliki gari hapa duniani kaa ukijua akhera hamna magari wala simu yani hamna kitu chochote cha kujifurahisha bali kuna pombe na wanawake
 
Mbona hao manabii wa mitume wazamani walitoa kafara za kichinja na kumwaga damu za wanyama na walibarikiwa..leo mwafrika akifanya ni ibada ya mashetani..hatudanganyiki tena..bakini na uongo wenu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkristo apaswi kutoa kafara ya damu.Mambo yote ya kale yaliisha pale msalabani saa tisa alasiri. Atuombi kwa kuchinja bali kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth yeye alifanyika kafara kwa kumwaga damu yake Ili sisi tuwe huru. Matambiko ni ushirikina, matambiko ni mlango wa kufungua roho chafu za kuzimu zitawale maisha yako.
 
karibu kwenye Uislamu
 
SIO KWELI,

Utapeli upo kwenye dini zote

Ni kweli watu wanapishana hawa wa imani hii wanaenda kwa waganga wengine wanaenda kwa manabii, yaani ni mchanganyiko wote kuna kitu wanatafuta nje ya imani zao

Waislamu wanaoenda kufanyiwa miujiza kanisani | Nini tatizo?​

Wengine wanaenda kuyatuliza majini yao kwa minofu ya nguruwe
 
Sawa..ila wewe wakifanya kinakuuma nini baki na imani yako ya kuletewa usiyejua utokako..upo upo tu mtumwa wa akili wewe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…