Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

Unadhani kwanini Mungu kakuagiza uwe na kiasi kwa kila jambo?

Au unadhani ukila kupita kiasi huwezi kupata madhara?

Hivyo basi hata ukinywa divai, juisi, n.k lazima uathirike sababu hujatumia hicho kinywaji kwa kiwango cha afya isipokuwa umezidisha tokana na tamaa zako binafsi.
 
Za kuambiwa changanya na za kwako, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Wewe unamzidi Shekhe Kipozeo kwa Ilmu ya dini?

Mwanazuoni mbobevu Alhaji Kipozeo ametuhakikishia tutapewa BIKRA 72 na nguvu za kula wanawake 100 kwa siku.

Wewe ni nani hata upinge hayo?

Kafiri yamekufika leo [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Njooo katoro geita uone wanavyopigwapigwa wapiga kura wa nchi hii hadi huruma
 
Pomoja na hilo ndugu yangu kuna kau kweli fulani hivi kama wasilishwa, ujue ukweli mara nyingi huchelewa sana.

Kujua hilo jaribu kuangalia mapokeo ya dini huko kwao na huku kwetu, kule bwana hawana nia ya kwenda tena kanisani.
 
Kuna mila fulani kule uchagani ya kufukua masalia ya marehemu baada miaka kadhaa ya kuzikwa.

Hili limekua likipingwa vikali na dini kwamba ni kama ushirikina au mila potofu.

Kule Vatican baada ya mchakato wa kumtangaza mtu kua mtakatifu kinacho fuatia ni kufukua masalia yake na kuyaweka sehemu rasmi kwa ajili ya kufanya maombi.


Kwa mfano likiwapo kanisa jipya linaloitwa kwa jina la mtakatifu fulani huchukuliwa masalia ya mtakatifu huyo na kuwekwa kwenye madhabahu, wanaita kutabaruku.

Kwao sio shida ibada kama hizo lakini fanya wewe sasa ushuhudie kutengwa.
 
Kumbe damu ya Yesu. Wanauza wapi na sisi tukanunue?
 
Pomoja na hilo ndugu yangu kuna kau kweli fulani hivi kama wasilishwa, ujue ukweli mara nyingi huchelewa sana.

Kujua hilo jaribu kuangalia mapokeo ya dini huko kwao na huku kwetu, kule bwana hawana nia ya kwenda tena kanisani.
Sasa hapo ukweli ni upi ni kwamba kuacha tu dini ndio ukweli? Nilifikiri wanafuata imani za mizimu yao.
 

Mkuu tofautisha ukristo na cults. Sio kila dhehebu Ni la kikristo . Ulishawahi kuona kanisani watu wanaucheza dansi au kuita roho za wafu?. Sio kila imani kiss siyo ya kiislam tunaipeleka kuwa Ni ya kikristo.
 
Mkuu tofautisha ukristo na cults. Sio kila dhehebu Ni la kikristo . Ulishawahi kuona kanisani watu wanaucheza dansi au kuita roho za wafu?. Sio kila imani kiss siyo ya kiislam tunaipeleka kuwa Ni ya kikristo.
Sijakuelewa, naomba uandike ukiwa umetulia, mara dansi mara kiss mara kiislam
 
Your browser is not able to display this video.
 
Vipi na wakina Aisha, Fatuma, Hassan, Ally, Khatib na wengineo hawajapigwa bado
 
Mtu akifa shahidi atapewa wanawake BIKRA 72 wenye matiti yaliyosimama na macho ya duara.

Je mwanamke atapewa nini?
Magaidi ya isis sijui wapo bikra ya ngapi,maana putin alisema Kazi yake kubwa ni kuyapeleka kuzimu magaidi
 
Bado dini inayo nafasi kubwa Sana kuleta amani katika jamii. Mtu aliyeshika dini ustaarabika
 
Wote tu nyie mmeshikiwa akili Kuna wengine Mungu anajua kiarabu tu ukisali kwa kiswahili haifai , ukivaa Kama waarabu ndo upo kwenye Imani , ukisalimia kiarabu ndo upo sahihi, mmeacha Mungu wa Babu zenu na kufuata tamaduni za ulaya na uarabuni , nyie wote Ni pipa na mfuniko
 
Wote mmeingizwa mkenge tu Ni pipa na mfuniko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…