Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

Hizi dini zilekebishwe ziendane na mazingira ya sasa na mahitaji ya wakati huu kulingana najamii husika.

Kingine ukristo ni dini ya upendo na amani..kila mtu amepewa free will mana tumepewa nja mbili ya uzima na upotevuni..kila kitu kimewekwa wazi ni uchaguzi huru.

Tofauti na dini nyingine zimejaa chuki..fitina mauaji..utengano husuda kwa waumini wake wanaofunguka akili ili kutoka vifungoni..kwa kutishiwa uhai na kutengwa na watu wao..kulazimisha wengine wajiunge dini yao wakikataa ni kuuwawa..absurd.

Mungu ubariki ukristo..dunia ni sehemu salama sana chini ya ukristo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Rahisi kutapeliwa ni wanawake na graduates
Desperate individuals ndio wanaotapeliwa sana..sidhani kama wanapenda bali ni matatizo ya kimaisha kama uchumi..magonjwa..kazi..ndoa..na mengineyo mengi..kama haya yasingekuwepo katika jamii sidhani kama watu wangekuwa wanahangaika hivi..

#MaendeleoHayanaChama
 
Kukiona hivyo hawana uhuru wa kuchagua..wamefungwa kwenye vitisho vya kifo na kutengwa..ni dini iliyotengeneza mazezeta na mazuzu zaidi..kiufupi ni wafungwa wa kiakili wasio jitambua na vikwazo vingi..wengi wanatamani kutoka ili vitisho vimewapoteza wengi ndio mana wanaishi kinafiki sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kumbe unabudu ili kujilinganisha na dini flani..absurd.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sio wivu wa kimapenzi bali ni tamaa ya ngono ya waanzilishi wake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ndiyomaana nikakujibu hivyo sababu ulijitetea kuwa maisha ya huko peponi ni tofauti ndipo nikakukatalia kwa huo ushahidi wa madhara ya pombe

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Uislamu ni kopy ya uyahudi na ukristo..iliyochakachuliwa na wajanja kwa maslahi yao..ndio mana falsafa yake imejaa mawazo ya binadamu zaidi wala haijajengwe kwenye misingi ya kimungu...ndiomana waumini wake wanampambania mungu badala ya mungu kujipambania mwenyewe...kwasababu haijatoka kwa Mungu imetoka kwenye mawazo potofu ya wana damu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wanatapelika kiurahisi kama Wana #CHADEMA
 
Kweli hata walimu nao pia kesi zimekuwa nyingi za kutapeliwq
 
Wakristo tumepungukiwa maarifa...Biblia inasema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"..hatutaki kutafuta kweli kwa kusoma maandiko,tumekuwa Ni watu wa kufuata wanachosema manabii bila ya kuhoji,tumejawa tamaa ya miujiza na utajiri wa dunia hii,tumesahau neno linatuambia tuwekeze mbinguni ambapo nondo wa kutu havitaharibu hazina yetu... Anyway Mungu ampe kila mkristo ufahamu na macho ya rohoni apate kuona.
 
Naelewa sana tena Muddy alipachikwa hapo na RC kama Mtume wa mungu kwa masilahi yao binafsi.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Sio kwamba hawana maarifa..ni majaribu na changamoto za kidunia..kuna wakati unakosa pakushika..kuna wakati unakosa hata uamini lipi..shukuru wewe hujapatwa na matatizo makubwa..kuna watu wanateseka sana kujikwamua katika shida na majaribu mbalimbali..ndio mana wanahangaika huku na kule kupata masaada..popote pale msaada utakapo patikana.

Ndio mana wengi huwa wamezunguka makanisa na sehemu nyingi..na wataendelea kufanya hivyo mpaka watakapo pata masaada wa matatizo yao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…