Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

Kwanini usituambie tutafute Mungu wetu wenyewe na badala yake unataka tufuate Mungu wa mababu zetu? Kwahiyo sisi hatuwezi kutafuta Mungu wetu wenyewe kama hao wazee walivyotafuta Mungu wao kwa kipindi chao?
 
Mkuu hujawahi kusikia kesi za watu waliyokuwa wakristo wakabadili na kutengwa na familia zao kisa kubadili dini?
 
Kwanini usituambie tutafute Mungu wetu wenyewe na badala yake unataka tufuate Mungu wa mababu zetu? Kwahiyo sisi hatuwezi kutafuta Mungu wetu wenyewe kama hao wazee walivyotafuta Mungu wao kwa kipindi chao?
Unaweza kumtafuta Mungu wako wewe peke yako sema tuanze na hapo kwanza tunapojitakataa mwenyewe
 
Mkuu unaongelea Tz au wapi? Mbona kuna yule mwiimbaji wa kwaya alikuwa muislamu ila sasa amebadili dini na anaimba kwaya na sijawahi kusikia kusema akifanyiwa vitisho, na wapo wengine maarufu waliyobadili dini na wanaishi vizuri bila kutishwa na yeyote.
Njoo home huku nikuoneshe jirani yangu aliyekuwa muislamu na sasa kafuata dini ya mkewe kutwa anasikiliza kwaya na maisha yanaendelea.
 
Unaweza kumtafuta Mungu wako wewe peke yako sema tuanze na hapo kwanza tunapojitakataa mwenyewe
Hata wewe unachangia huko kujikataa ndio maana unatangaza Mungu wa wazee wetu badala ya kutuambia tujitafutie na sisi wa kwetu na sio Mungu wa urithi.
 
Uislamu umekopy nini kwenye ukristo utatu au mafunzo ya Paulo?
 
Hata wewe unachangia huko kujikataa ndio maana unatangaza Mungu wa wazee wetu badala ya kutuambia tujitafutie na sisi wa kwetu na sio Mungu wa urithi.
Siwez kukuhamasisha kumtafuta Mungu kwa sababu Mungu wako unamjua pia unajua alikutuma Nini huku , ninacholenga Mimi Ni kukubali tamaduni za watu na kuacha za kwetu hizo dini zote Ni tamaduni ngeni huku Africa babu zetu walilazimishwa mpka kwa kumwaga damu kufuata hizo tamaduni Ila sisi wajukuu tunauana wenyewe kisa tamaduni za watu
 
Tamaduni zipi hizo mkuu tunazofuata ambazo ni tamaduni za watu wengine kupitia hizi dini? hebu zitaje.
 
Ungetaja ingekuwa vizuri tukazijadili, maana isije ukawa unachanganya mambo ya dini na mambo ya tamaduni.
Naomba nikuulize swal kabla ya kukujibu , Africa kabla ya ukoloni fikra zetu kumuhusu Mungu Ni zipi? Je tulikua tuna Imani zetu?
 
Wewe unamzidi Shekhe Kipozeo kwa Ilmu ya dini?

Mwanazuoni mbobevu Alhaji Kipozeo ametuhakikishia tutapewa BIKRA 72 na nguvu za kula wanawake 100 kwa siku.

Wewe ni nani hata upinge hayo?
Mbona mnashindwa kuelewa,wapi alipokwambia amepinga?
 
Naomba nikuulize swal kabla ya kukujibu , Africa kabla ya ukoloni fikra zetu kumuhusu Mungu Ni zipi? Je tulikua tuna Imani zetu?
Ndio walikuwa wanaamini wanayoamini kipindi chao hicho kama ilivyokuwa huko kwa wazungu na waarabu nao walikuwa na wanayoyaamini kutoka kwa mababu zao kabla ya hizi dini.
 
Mtu akifa shahidi atapewa wanawake BIKRA 72 wenye matiti yaliyosimama na macho ya duara.

Je mwanamke atapewa nini?
Mwanamke atapewa vidume handsome 72 wenye six pack, halafu wenye hela[emoji1787]
 
Ndio walikuwa wanaamini wanayoamini kipindi chao hicho kama ilivyokuwa huko kwa wazungu na waarabu nao walikuwa na wanayoyaamini kutoka kwa mababu zao kabla ya hizi dini.
Wao wakatoa manabii kutoka kwao wakaleta dini sisi wakatuleta din zao baada ya kuja kutuchukua utajir wetu na kutuchukua Kama watumwa hizo din hazikuja kwetu kwa Nia njema iweje Leo ziwe na Nia njema kwetu?
 
Haahahaaha.... Aise hii kaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ€£
 
"Sio kila mzungu padri wengine wananyonya damu" huu msemo siwezi kuusahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…