Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

Kwa mtaji wa turubai na viti vya plastick na maneno matamu utapiga hela na kula wake
 
Wanawake hawana lao, halafu eti ni haki, kwanini Wanawake wasipewe haki yao wa kuolewa nawanaume 72 mashababi?
Ktk hili mkuu ni ngumu kidogo, mfano wewe mwenyewe hapo ukiambiwa mke wako aruhusiwe hapa duniani kuwa na wanaume 72 hapa duniani hutokubali.
 
[emoji16][emoji16] Hoja nyepesi ktk Swali gumu.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Hata zamuradi amekula sana pesa za kondoo hadi sirikati imeingilia kali
Sijakosea hivyo hivyo sirikati imeingilia kali
 
Halaf divai siyo alcohol acheni kuwatapeli watu kifikra.
 
Akili ya mtu hupelekea kufanya huo upumbavu unaouongelea sio kilevi. Hivi wewe unadhani ni wote ambao wanafanya huo upumbavu wakilewa?

Mfano mzuri ni Mama yangu mkubwa, huwa akilewa anaenda kujipumzikia ndani hiwezi kusikia anabwabwaja kuongea upumbavu.

Mwingine ni Baba yangu, yeye kwanza hanywi sana kwasababu ufahamu aliyopewa na MUNGU unamsaidia kutambua madhara ya excessive use of alcohol so huwa anatumia kiasi then anaenda kujipumzikia ndani.

Ugaigai wote unaofanywa na walevi ni matumizi mabaya ufahamu ambao ni zawadi kutoka kwa MUNGU.

Usilete ujinga wa kusema eti mbinguni watu wakilewa hawawezi kuleta maafa kwanza nani amekwambia watalewa? nani amekwambia mbinguni kuna bia? Nani amekwambia mbinguni kuna gongo,henessy na mapombe mengine?

Acheni kupotosha watu matapeli wa kifikra nyiee!!
 
Nice
 

Shetani anao uwezo wa kuchukua sura na roho ya mtu au ndugu yako aliekufa na kujifanya ndie yeye.Kutambika ni ibada ya kuzimu kuchinja mnyama ni kafara ya damu ile damu inayomwagika ni chakula cha shetani kwa lengo la kuimarisha maagano Kati ya mwanadamu na shetani kwa kuunganishwa na damu. Kinachofanyika pale ni kumuabudu shetani kupitia kivuli cha ndugu. Mtu akishakufa hana msaada tena hata kuwaomba watakatifu yote ni kumuabudu shetani. Mizimu ni wakuu wa giza wanaotawala eneo fulani mfano ukoo, familia, eneo. Mizimu ni mashetani yanayovaaa roho z marehemu waliokufa na ujua historia au asili ya familia au kizazi fulani
 
Halaf divai siyo alcohol acheni kuwatapeli watu kifikra.
Uzuri wake mi sipendi kubishana. Nakuwekea rejea katika biblia.


Isaya 5:11-12 BHN​

Ole wao wanaoamka asubuhi na mapema wapate kukimbilia kunywa kileo; wanaokesha hata usiku, mpaka divai iwaleweshe! Katika karamu zao, hapakosekani vinubi, zeze, matari, filimbi na divai. Lakini hawajali matendo ya Mwenyezi-Mungu, wala kuzitambua kazi za mikono yake.
 
Wao wakatoa manabii kutoka kwao wakaleta dini sisi wakatuleta din zao baada ya kuja kutuchukua utajir wetu na kutuchukua Kama watumwa hizo din hazikuja kwetu kwa Nia njema iweje Leo ziwe na Nia njema kwetu?
Dini hizo hazikuja afrika tu pekee yake sasa iweje wewe muafrika ndio uone umeundiwa hizo dini na kuletewa kwa nia mbaya mbona jamii zengine hazioni hivyo? Kuna wakati huwa mnanishangaza kweli sijui huwa mnafikiria vp.
 
Dini hizo hazikuja afrika tu pekee yake sasa iweje wewe muafrika ndio uone umeundiwa hizo dini na kuletewa kwa nia mbaya mbona jamii zengine hazioni hivyo? Kuna wakati huwa mnanishangaza kweli sijui huwa mnafikiria vp.
Nione nimeundiwa kwa Nia mbaya ?!!! Unafahamu vitangulizi vya ukoloni Africa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…