Hamphrey Polepole aikubali Katiba Inayopendekezwa na kusema kuwa ni ya wananchi si ya Wanasiasa

Bmbalamwezi huna haja ya kupotosha nilimsikiliza vizuri!! Kama wewe sio propaganda ebu weka sentensi mbili kabla na baada ya sentensi hiyo utaabika!!
 
Wpona hukuelewa nini hapo?kwani katiba ni ya mbuzi,kondoo,ng'ombe au twiga???? Mbona inaeleweka hiyo na mimi nakazia KATIBA NI YA WANANCHI.
 
Wewe mpuuzi acha uongo wako hapa, warioba hana katiba, yeye aliandika mapendekezo na sio katiba.

Kweli kuelewa kazi wp nmeandika katiba ya Warioba.....acha ushabiki ndugu
 
Upatikanaji wa Katiba mpya hauepukikia,wananchi tushiriki wenyewe tusiwaachie mbwa mwitu kutugawa na kutuvuruga!!!
 
Wpona hukuelewa nini hapo?kwani katiba ni ya mbuzi,kondoo,ng'ombe au twiga???? Mbona inaeleweka hiyo na mimi nakazia KATIBA NI YA WANANCHI.
Na inakuwaje chama kimoja kinawajibika kubemwabeleza hao wananchi waipigie 'ndiyo'? Nikifikiri hao wenye katiba waachiwe waamue na sio kulazimishwa.
 
Na inakuwaje chama kimoja kinawajibika kubemwabeleza hao wananchi waipigie 'ndiyo'? Nikifikiri hao wenye katiba waachiwe waamue na sio kulazimishwa.
Kama ni hilo kwann na wa vyama vingine wanawashinikiza wananchi hao hao waipigie kura ya Hapana? Hapo ni jino kwa jino kama hujui. Wawaache nao waamue wenyewe kuliko kuwaambia eti pigeno hapana lkn mjitokeze kwa wingi kwenye daftsri kwaajilimya kujiandikisha. Hahahhahha unalo hilo
 
Ameletwa kwa madhumuni maalum achana naye. Alichonukuu na tafsiri anayojaribu kutoa viko mbali kama dunia na jua...
 
Na inakuwaje chama kimoja kinawajibika kubemwabeleza hao wananchi waipigie 'ndiyo'? Nikifikiri hao wenye katiba waachiwe waamue na sio kulazimishwa.

Hakuna atakayelazimisha mtu,mie naelewa siku ya kupiga kura ni wewe na sanduku na kura yako ushindwe mwenyewe!kikubwa uelewe unapigia kitu gani na uwe umeisoma Katiba inayopendekezwa.
 
Ameletwa kwa madhumuni maalum achana naye. Alichonukuu na tafsiri anayojaribu kutoa viko mbali kama dunia na jua...
Bwana Mpitwaga kwani wewe umekuwa msemaji wake huyo Harakaraka a.k.a pole pole? Na wewe bwana Utotole kwanini una mkono mambo ambayo unaona kabisa huyo bwana Pole pole mchumia tumbo mganga njaa anayetafta umaarufu tu hapa nchini? Hahahaha mwenye mamchomhaambiwi ona, huyo anapita mavyuoni na kwa watu mmoja mmoja kupotosha umma, ashindwe na alegeee. Katiba itapita, mtasema mchana lakn ucku mta lala tuu.
 
Kumbe hili la uhuru kwa kila nmmoja unalijuwa?
Inakuwaje sasa wanaotaka HAPANA kwa katiba wanatishwa na kuambiwa watafungiwa? Eti wakubwa wanafikia kusema kuwa muda wa kampeni haujafika wakati kwa huu upande wenu wa NDIYO umekuwa ukipigiwa chapuo na viongozi wa nchi.
Hivyo hapo umeona ni sawa?
 
We kilaza kweli, wanachokataza wao ni kuhusu Uchaguzi mkuu kampeni muda wake bado. lkn kuhusu katiba muda ulishafika na kampeni zake ndo hizo unazoziona sasa cjui unakurupuka kurupuka ovyo unadhani JF wanagawa chakula cha njaa humu? jipange na uwe unaelewa mambo usiwe bendera fata upepo.
 
Hakuna atakayelazimisha mtu,mie naelewa siku ya kupiga kura ni wewe na sanduku na kura yako ushindwe mwenyewe!kikubwa uelewe unapigia kitu gani na uwe umeisoma Katiba inayopendekezwa.
Laiti ungepitia hii mada ungeelewa kuwa kulikuwa hakuna haja ya haya yanayofanyika.
 
Umelogwa wewe si buree...!
 
Wewe mbona kituko ndugu yangu?
Hivyo wewe una unachokijuwa kuhusu mambo haya, yaani uchaguzi na katiba pendekezwa? Usikurupuke na naomba fanya reference kwanza halafu urudi kwani mimi hupenda kuelimisha kuliko kubishana.
Naomba ukirejea hakikisha tunajadili kinachoeleweka badala ya kugeuka mfa maji.
 
Laiti ungepitia hii mada ungeelewa kuwa kulikuwa hakuna haja ya haya yanayofanyika.

Mada nimeipitia na sio mimi tu wako kibao watu makini wenye michango yenye maana,huwezi zuia watu kuongea let them talk then ukweli utaprevail kwani shida hapa nini,nachojua kuna baadhi ya watu hata na hiyo katiba inayopendekezwa wamepqta copy but they dont read na kuna wale wenye ile ya 1977 nao vilevile hawajaisoma na hawaijui,tuwe serious kwenye mamb muhimu ya nchi yetu.
 
Ukweli kuhusu jambo fulani anao mtu mwenyewe,hao wanaosema kuongea hapana ni kufungiwa sio kweli hawajielewi,UKAWA isingekuwa na onezeko la wa wabunge kikubwa hapa ni kujitambua na kuchukua hatua kwa kuamua sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…