Hamse Abdi Barre: Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake

Sikiliza Chizi, ilo jina sijui kama utanielewa any way, sisi waisalmu tunakatazwa na Allah kupitia kwa Mtume wake Mwarabu aitwae Muhammad swalallahu Alaih waalih wasallam. Kwa hiyo kwa hili ni kosa kupaeana mikono na mwanamke. waziri huyu yupo sawa kabisa kwa 100%.

Soma hii hadithi;
Imesimuliwa kutoka kwa Ma’qil ibn Yaassar ambaye amesema kuwa Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa alihi wa sallam) amesema: ((Mmoja wenu kudungwa kichwa kwa sindano ya chuma ni bora kwake kuliko kumgusa mwanamke asiyeruhusiwa kwake)) [At-Twabaraaniy katika Al-Kabiyr na imepewa daraja ya Swahiyh na Shaykh Al-Albaaniy katika Swahiyh Al-Jaami’]

Jambo hili limekuwa ni mazoea katika jamii yetu na linaonekana ni jambo la kawaida na kuliacha huwa ni kama muhali kwa mtu kukhofu kuwa atakuwa amemdharau mwanamke asipopokea mkono wake anaposalimia. Inampasa Muislamu aondoshe fikra hii ambayo ni wasiwasi wa Shaytwaan na abakie thabiti katika Iymaan yake ya utiifu wa amri wa Mola wake na asione aibu kwani Allaah Haoni aibu katika haki.
 
Hata kusalimiana nao tu nako hakufai nadhani Mohammad alisahau kuweka nyongeza hiyo
 
Hizi ni Sheria za KALE hazina nafasi katika Dunia ya leo huyo Waziri Mkuu wa Somalia akikutana na Samia Suluhu atampa mkono fasta fasta.
 
Unaogopa kumtaja shetani kwa ubaya kwa jina lake mpaka unalirember hivyo. Sema SHETANI kama SHETANI na JINA LAKE BAYA.
 
Mawazo ya ngono tuu.
 
Kwahiyo ukiumwa ukaenda hospitali ukakuta daktari mwanamke akikugusu kwenye matibabu halafu usipone ukafa kwa bahati mbaya, Firdausi ndiyo kwaheri?​
Ila watu wengine jamani...kugusa ndio kupeana mikono mzee baba!? Khaaaa!!!!
 
Peleka upumbavu huko hiyo dini imekupofusha macho kama unajiona wewe msafi sana hama hapa dunian nenda kaishi maisha yako huko Mars.

Pumbavu mkubwa wewe mwenyewe hapo ulipo unakinyeshi kama unabisha pitisha kidole ujinuse shenzi kabsaa.
Great thinker
 
Wacha kulinganisha Biblia na vitu vya hovyo vilivyoandikwa karne 13 zilizopita. Mumefumbwa maarifa ndiyo maana mnasoma kutoka kushoto bila sabau na mnswali kiarabu huku mkugonga kichwa kwenye sakafu na mikundu juu
Quran inasomwa toka mkono wa kulia. Au hujui kama maandishi ya kiarabu yanaanzia kulia. Quran imeandikwa karne ya 13 sawa jee umeona imebadilishwa versions kama ilivyo kwa biblia?
 
Hizi ni Sheria za KALE hazina nafasi katika Dunia ya leo huyo Waziri Mkuu wa Somalia akikutana na Samia Suluhu atampa mkono fasta fasta.
Juzi tu kwenye mazishi ya Alhaj Ali H Mwinyi kama uliangalia, wanaume walikuwa wakiwapa mikono wafiwa wanaume wenzao...wakifika kwa wanawake wanajishika kwenye vifua kuonesha km kutoa Pole. No handshakes
 
Kwahiyo ukiumwa ukaenda hospitali ukakuta daktari mwanamke akikugusu kwenye matibabu halafu usipone ukafa kwa bahati mbaya, Firdausi ndiyo kwaheri?​
Dhambi inapatikana kwa dhamira yako, na siyo kwa dhamira yako.
Mfano: Mwanamke akibakwa hapati dhambi, bali dhambi itenda kwa mbakaji.
 
Juzi tu kwenye mazishi ya Alhaj Ali H Mwinyi kama uliangalia, wanaume walikuwa wakiwapa mikono wafiwa wanaume wenzao...wakifika kwa wanawake wanajishika kwenye vifua kuonesha km kutoa Pole. No handshakes
Point yake nini ukimshika mkono Mwanamke ndio unapatwa na Nyege?!
 
Dhambi inapatikana kwa dhamira yako, na siyo kwa dhamira yako.
Mfano: Mwanamke akibakwa hapati dhambi, bali dhambi itenda kwa mbakaji.
Kwahiyo nikikushika mkono nikawa na dhamiri njema moyoni, napata dhambi au sipati dhambi ?​
 
Ila kwenye wizi wa mali ya Umma unaweza kumkuta yupo mstari wa mbele. Amaa kweli dini ni ukichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…