Kwa sababu hatujazoea ...Ok. Inawezekana pia....... Vijana wa kisomali na kiarabu Wana mambo mengi.
Sio sisi tukitaka kuandamana tunaambiwa tuandamane kuzunguka kitanda na tunatii bila shurti.
Halafu watu wazima wanaleta habari ya kudhulumiwa oh sijui dhahabuUkiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.
Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tu ni sniper kabisa
Je, atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Nishabisha hadi nimeamua kukaa kimya eti naaminishwa nikitaka na mimi kujua kama yeye eti niingie you tubeYule jamaa ukichek tu jins anavyoshika ike silaha inaonyesha ni mzoefu sana
Yani ni kama mtu ulivyozoea kuwasha simu yako
Kwanza ana shabaha kuliko hata wale askari
Kwa hiyo sio jamb la kusema kajifunza youtube
Kujifunz kitu mtandaon bila kukion na kukishik ni vitu viwil tofaut
WasUkiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.
Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tu ni sniper kabisa
Je, atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Kujifunza youtube lazim uwe na hiyo silaha sasa ili uende sawa na mfundishajiNishabisha hadi nimeamua kukaa kimya eti naaminishwa nikitaka na mimi kujua kama yeye eti niingie you tube
Hiyo SMG ni silaha ya kivita mzee; siyo silaha ya kuwindia au ya kujikinga. Kwa Tanzania SMG haziuzwi kwa raia huko mitaani. raia wanaruhusiwa kununua rifles na bastola tu.Kwanza hiyo siyo silaha ya kivita
Pili kama unataka kununua silaha unapata na mafunzo ya jinsi ya kutumia vile vile mtu yoyote anaweza kukufundisha
Askari polisi wanaruhusiwa kutembea na silaha za kivita?Hiyo SMG ni silaha ya kivita mzee; siyo silaha ya kuwindia au ya kujikinga. Kwa Tanzania SMG haziuzwi kwa raia huko mitaani. raia wanaruhusiwa kununua rifles na bastola tu.
Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.
Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tu ni sniper kabisa
Je, atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Hapo tuu ndio pananitia shaka.Kujifunza youtube lazim uwe na hiyo silaha sasa ili uende sawa na mfundishaji
Sasa hamza ameonyesha uzoefu na ujuzi mkubw kuliko hata wale polisi
ndiyo; polisi ni askari, au unawaona nao ni raia?Askari polisi wanaruhusiwa kutembea na silaha za kivita?
Sidhani kama utasikia majibu ya hiyo tumeSandali ali mimi ninachojua kaka hamza amemuacha mzee siro na ganzi.unataka kusema kaka hamza ametoka msumbiji?basi mzee siro aunde tume tujue ukweli.hayo mengine shida ni kwamba polisi hawakutaka kuja kuyajua maan uwezo wa kumkamata walikuwa nao
Tumsamehe bureKwahiyo kwavile Masaki hakuna soko la madini ndo watu hawawezi kwenda kuuza madini?! Unasema hayo kwa sababu unajua kuna yale masoko aliyoyaasisi Magu! Je, kabla ya hapo watu walikuwa wanauza wapi?! Na hivi unadhani kila mmoja anaenda kuuza madini kwenye masoko ya Magu?