Ndio Smg zile na copy yake Norinco AK47 ya China ni ya kivitaSiku hizi Polisi wanatumia slahaa za kivita?
Hata mimi mwanzo nilihisi ana mafunzo rahisi rahisi ya kiraia ila nimezipitia sana zile video nikawa 50/50Asante sana umenielewa nachouliza hapa.
Kuna watu wanasema eti you tube kuna kila kitu ukiingia.
😆😆 Huyo jamaa iyo handle yake tu inatosha kutambua ubongo wake upojeMnatetea kitu gani? Zile siraha aalizowapola ma-askari zilikuwa siyo silaha za kivita? Askari huwa wanabeba bunduki ya kuwindia enhee.......!!!
Yaan ukiwaza tu ivyo una conclude ya kwamba jamaa hakuwa mwananchi wa kawaida ni haki kusema ni gaidi aliyetokaa mafunzoni ... Lzm mtu ujiulize ivi mtu mmoja kazungukwa na watu kibao lkn walikuwa hampati mpaka alipotupiwa bomu la machozi aisee yule jamaa aalikuwa ni mtu hatari sana anapo shika silaha ana mafunzo ya kutoshaHamza alikua na extensive knowledge and skills za kutumia hizo military style ruffles.
Ukiangalia jinsi alvyokua anazishikilia, anazitumia, yule ana mafunzo ya juu yautumiaji wa siraha, hasa defensive and offensive firing techniques, tena advanced, military style.
Angalia alipokua kwenye kale kakibanda pale ubalozini anarushiana na yule jamaa risasi. Alikua anapiga risasi comfortably kabisa.
Kutumia siraha kubwa lazima uwe na mafunzo.
Huyo ni Taleban, tumeambiwa kabla hajaenda masomoni Misri alikuwa mtu poa sana lakini baada ya kwenda masomoni huko Misri na kurudi akawa amebadirika sana, hata kuongea na watu ambao alizoea nao aliacha yeye alikuwa ni kuingia ndani na kujifungia, polisi walitakiwa watumie risasi za usingizi kama zile wanazopigwa wanyama,ili jamaa akamatwe akiwa hai labda tungeweza kujua mengi.Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.
Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tuu ni sniper kabisa Je? Atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Kuna mmoja kazamia Iran huu ni mwaka wa 15 hajawahi kurudi hata kusalimia. Kaenda kusoma masomo ya dini.Hujasikia kuwa aliwahi kwenda masomoni nchi mojawapo ya kiarabu. Wazazi wachunguze watoto wao huko nje wawe wamewapeleka wenyewe au wamepelekwa kwenye taasisi zinazojifanya ni za kidini
Kosa kubwa sana walifanyaHuyo ni Taleban, tumeambiwa kabla hajaenda masomoni Misri alikuwa mtu poa sana lakini baada ya kwenda masomoni huko Misri na kurudi akawa amebadirika sana, hata kuongea na watu ambao alizoea nao aliacha yeye alikuwa ni kuingia ndani na kujifungia, polisi walitakiwa watumie risasi za usingizi kama zile wanazopigwa wanyama,ili jamaa akamatwe akiwa hai labda tungeweza kujua mengi.
Kwanza hiyo siyo silaha ya kivita
Pili kama unataka kununua silaha unapata na mafunzo ya jinsi ya kutumia vile vile mtu yoyote anaweza kukufundisha
Hamza alikua na extensive knowledge and skills za kutumia hizo military style ruffles.
Ukiangalia jinsi alvyokua anazishikilia, anazitumia, yule ana mafunzo ya juu yautumiaji wa siraha, hasa defensive and offensive firing techniques, tena advanced, military style.
Angalia alipokua kwenye kale kakibanda pale ubalozini anarushiana na yule jamaa risasi. Alikua anapiga risasi comfortably kabisa.
Kutumia siraha kubwa lazima uwe na mafunzo.
Shabaha kwa mtu uliyenaye urefu wa mita 2 au 10?
Kapiga traffic aliyeko barabarani,hajui kama yeye ni target.
Kapiga askari wawili kwa kuwashtukiza.
Kapiga askari wa SGA.
pale barabarani hahaha yeyote.
Askari polisi hawatembei na silaha za kivitasio silaha ya kivita!!!![emoji15][emoji15][emoji15]
eh.
Kada huyo wa CCM si huwa wanawapa mafunzo! Ila Siro kamwita mtu wa ovyo, kweli angekuwa wa ovyo angeweza kweli kumiliki silaha kivile. Na ile bastola nani kamilikisha kijana wa Ovyo? hapa kuna kitu kinafunikwa. Majibu ya kamanda Siro nikayasikia lazima niyageuze upande wa pili na kuyadadavua.......... yaani yapo kisiasa zaidi
Askari polisi hawatembei na silaha za kivita
Huyo unaluta wanamtuma kama chambo kwenye makundi mbalimbaliKuna mmoja kazamia Iran huu ni mwaka wa 15 hajawahi kurudi hata kusalimia. Kaenda kusoma masomo ya dini.
Huyo ni Taleban, tumeambiwa kabla hajaenda masomoni Misri alikuwa mtu poa sana lakini baada ya kwenda masomoni huko Misri na kurudi akawa amebadirika sana, hata kuongea na watu ambao alizoea nao aliacha yeye alikuwa ni kuingia ndani na kujifungia, polisi walitakiwa watumie risasi za usingizi kama zile wanazopigwa wanyama,ili jamaa akamatwe akiwa hai labda tungeweza kujua mengi.
Hakuna silaha nzito hapo , akina Mwajei wakimaliza F6 wazipigia range hapo mafinga.Hamza alikua na extensive knowledge and skills za kutumia hizo military style ruffles.
Ukiangalia jinsi alvyokua anazishikilia, anazitumia, yule ana mafunzo ya juu yautumiaji wa siraha, hasa defensive and offensive firing techniques, tena advanced, military style.
Angalia alipokua kwenye kale kakibanda pale ubalozini anarushiana na yule jamaa risasi. Alikua anapiga risasi comfortably kabisa.
Kutumia siraha kubwa lazima uwe na mafunzo.
Kuna mmoja kazamia Iran huu ni mwaka wa 15 hajawahi kurudi hata kusalimia. Kaenda kusoma masomo ya dini.
Nimeshangaa sana nimeona video ya mazishi yake waswahili na watu wenye asili ya asia wanamwombea kwa dhati kabisa, sasa najiuliza kwao alichokifanya ni halali? Hawakumbuki hata kidogo kuwaombea watoto wa watu aliozulumu uhai wao kwa kumwaga damu zao bila hatia yoyote?Kwa maelezo ya jamaa zake wanadai alionewa
mh,sawa komandoo la nyuma ya keyboardHakuna silaha nzito hapo , akina Mwajei wakimaliza F6 wazipigia range hapo mafinga.
Sema ujibga mwingi wa askari na kubweteka unachangia kupigwa ambush kindezi ,
mnaporwa simu na mikoba ya vipodozi,akili mnakiwa mmeweka kwenye simu hizo!!Tatizo ni hili keyboard .kuchat hata lindoni. Wee soma comment za watoto wa shule hunu utajua kuwa hatuna kizazi cha maana kinakuja ni vishoga shoga tu bora wale
hawa wanaowalaza ndani nyinyi na kaka zenu saa mbili!!!1.Panya road
2. Wamarekani
3.Komando Yoso
4. Mbwa mwitu
5. Na wanaofanana nao
Hao wanaweza kusimama sio hawa watoto wa afande mwita