Hamza atakuwa alijifunzia wapi ile silaha ya kivita?

Hamza atakuwa alijifunzia wapi ile silaha ya kivita?

Ahaa basi polisi wetu waanzie hapa huko alikoenda kusoma ilikuwa kusomea nini baada ya dini au laa
Wanaingiliwa sana na wanasiasa, wanaharakati pamoja na wenye msimamo mkali kama yeye
 
Niliwahi kusoma habari ya kijana mmoja kutokea nchi za ulaya alikuwa akieleza jinsi alivyotaka kuangukia kwejiunga na vikundi vya ugaidi. Ila sifa mojawapo niliyoiona Ni kuwa wanakuwaga wapole Sana kwenye jamii lakini myoyoni mwao Ni hatari zimejaa.
Ahaa
 
Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.

Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tuu ni sniper kabisa Je? Atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Mimi ninachowaomba Wazazi msituzalie watoto wa aina hii ya Simon sero. Wasiojua hata kutofautisha picha zilizopigwa na YASHICA na zile zinazotokana na CCTV cameras.
 
Unachosema ni sawa na kumwambia mtu atajua kuogolea kwa kujifunza kwa njia ya youtube
Ndiyo ninachomaanisha. Kenya ilipeleka mtu mashindano ya Olimpiki katika kategori ya kurusha mkuki.

Huyo jamaa alijifunza kurusha mkuki kupitia youtube na ni maarufu kwa jina la Mr Youtube.

Information is out there.
 
Kujifunza kutumia silaha kupitia YouTube Ni sawa na Kujifunza kuogolea kupitia YouTube siku ukiingia kwny swimming pool/baharini utakunywa vikombe mpk ushangazwe.
Utakua lofa kama utaanza na kina kirefu.
 
Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.

Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tuu ni sniper kabisa Je? Atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?

Sema tu halitawekwa wekwa wazi ila jamaa alikuwa mwewe na aliaminika sana...
 
Na utakua lofa kuamini mlio wa risasi tu ya live unafanana na utopolo wa game za GTA huku ukikwepa live bullets na YouTube ikifundisha confidence za kupambana na risasi.
Hehehe kwahiyo unavyojua wewe watu hua wanatrain na live bullets?
 
Yani unauliza gaidi kajifunzia wapi silaha? Kajaribu wewe kupora na hauna mafunzo yoyote inaweza hata kukushnda kufyatua risasi ukaibeba Kama rungu
Na mwsho utavuna ulicho kipanda Kama Hamza alivyo vuna mazao yake
 
Usimsifie Hamza. Tatizo ni polisi wetu. Wamefundishwa kuzuia maandamano ya raia wasiokuwa na silaha akina Mbatia, CHADEMA, Rungwe... Kwenye silaha hamna kitu. Hata majambazi unaosikia eti wameuawa na polisi eti wakati wa kurushiana risasi ni uongo. Huwa wanawakamata wakiwa hai na kuwapiga risasi.
Na Hamza walimkata akiwa mzima wakampiga risasi
 
Back
Top Bottom