Hamza Johari anahusiakaje na Mkataba wa Bandari?

Aendelee mola atamaliza ugomvi wetu na yeye .
 
Mimi nitaikubali hiyo sifa ya kupotosha, kama itasaidia kuinusuru nchi yetu na ujinga huu unaoendelea ndani ya serikali hii.
 
Uoga wako ni wa kawaida sana kusikika miongoni mwa watanzania. Mapinduzi ya TPA yalikuwa yanacheleweshwa na wezi wanaovaa masuti na tai nyekundu, dawa yao imeshapatikana.
 
Uoga wako ni wa kawaida sana kusikika miongoni mwa watanzania. Mapinduzi ya TPA yalikuwa yanacheleweshwa na wezi wanaovaa masuti na tai nyekundu, dawa yao imeshapatikana.
EEeeenHeeee!

Badala ya suti na tai nyekundu; kuna kundi jingine ambalo ni hatari zaidi, sitaki kueleza mavazi yao yalivyo.
Hata wakija uchi wa mnyama, ni matendo yao tu ndiyo yanayotuhusu.
 
Hapana siyo mwanasheria wa serikali. Yeye ni mvaa kobazi.
 
Mwenyekiti wa Timu ya majadiliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…