Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi

Screenshot_20240413_161441_X.jpg

Swahili times​

-
β€œTimu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Habari zaidi, soma:
  1. Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
 
Hamza ushamaliza Mambo ya Anga hadi uvamie masuala ya bandari, kama upo kutoa maoni Sawa na si kutuaminisha katika mlolongo wa kufikia lengo la kubinafsisha bandari. Kama kitu kipo Kwa nia njema nguvu nyingi za nini kuaminisha watu kama ni Jambo zuri ilipaswa kuendelea na mengine.
 
Yani nilivyoona Rostam Aziz amerudi basi nilijisemea tu huyu mtu safari hii ana hasira kuliko mwanzoni.

Sasa anatuibia mpaka bundle za Tigo, yani ukiweka GB moja usithubutu kufunguwa video utakoma ubishi, kwenye hili la DP kama Rostam hausiki mninyonge nife.
 
wanamuweka JPM ili kupoza so hatutaki huo mkataba ni batili bi tozo asijtake kujisafisha kwani kulikuwa na ulazima wa kuuendeleza mbona mambo kibao ya JPM kayabadilisha

-maridhiano
-nape na january kawarudisha

na mengine mengi kwa hili asijifanye anaendeleza la mrtangulizi wake hata kama halina maslahi,au kwa sababu inahusu wajomba zake waarabu?
 
Yani nilivyoona Rostam Aziz amerudi basi nilijisemea tu huyu mtu safari ana hasira kuliko mwanzoni.

Sasa anatuibia mpaka bundle za Tigo, yani ukiweka GB moja usithubutu kufunguwa video utakoma ubishi, kwenye hili la DP kama Rostam hausiki mninyonge nife.
Kwani Rostam alienda wapi?
 
Back
Top Bottom