Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

Hamza ushamaliza Mambo ya Anga hadi uvamie masuala ya bandari, kama upo kutoa maoni Sawa na si kutuaminisha katika mlolongo wa kufikia lengo la kubinafsisha bandari. Kama kitu kipo Kwa nia njema nguvu nyingi za nini kuaminisha watu kama ni Jambo zuri ilipaswa kuendelea na mengine.
Oyaa JPM aliwafurumua WACHINA AA BAGAMOYO.

Genge la Samia limeanza kutafuta uhalalishaji wa UPUMBAVU wao kupitia jina la JPM.
 
Sasa ndio umeongea nini?
Na ninacho maanisha ni kwamba... Kama mnaona mtu kaanzisha jambo baya na unajua ni baya kuna haja gani ya kuliendeleza wakati unajua ni baya? Na mambo yamewashinda mnaanza kusema KWanza jambo lenyewe kalianzisha fulani!!! Huo si ukhanithi kabisa!!!......

Na swala ni terms of the contract... Naamini angekuwepo huyo mnae msingizia kaanzisha naamini hizo terms kandamizi za mkataba ZIsinge kuwepo!! Pia mtu kesha jiondokea zake KWa nini muendele kumtajataja? Sijui wewe ni kijana au mtu wa makamo au mzee... Mimi sijui... Lakini watanzania wa siku hizi (wengi wao sio wote) mnajipendekeza sana na hiyo yote ni kupenda mtelemko, kutaka vyeo KWa lengo la kujionyesha wala si kutaka kuleta mabadiliko katika jamii.... Ndio maana mashoga wanaongezeka....
 
😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Sisi wengine tulipoona ghafla Shujaa Magufuli kamtenga PK tukajua tu Paul kagusia Bandari 😂😂 maana katika hilo hata JK machale yalimcheza

Kizazi cha Kitusi kimetokea mbali bwashee kama wale akina Mussa na Joshua 😀😀😀
 
Na ninacho maanisha ni kwamba... Kama mnaona mtu kaanzisha jambo baya na unajua ni baya kuna haja gani ya kuliendeleza wakati unajua ni baya? Na mambo yamewashinda mnaanza kusema KWanza jambo lenyewe kalianzisha fulani!!! Huo si ukhanithi kabisa!!!......

Na swala ni terms of the contract... Naamini angekuwepo huyo mnae msingizia kaanzisha naamini hizo terms kandamizi za mkataba ZIsinge kuwepo!! Pia mtu kesha jiondokea zake KWa nini muendele kumtajataja? Sijui wewe ni kijana au mtu wa makamo au mzee... Mimi sijui... Lakini watanzania wa siku hizi (wengi wao sio wote) mnajipendekeza sana na hiyo yote ni kupenda mtelemko, kutaka vyeo KWa lengo la kujionyesha wala si kutaka kuleta mabadiliko katika jamii.... Ndio maana mashoga wanaongezeka....
Sio jambo baya mbona ila nyie ndio mnapotosha
 
Kwenye hili mama hakwepi hata anunue vichawa vingine waongeze nguvu kumtetea, ila wanatanzania wa miaka 10 iliyopita siyo kama wa leo, wanajua na wanaouwezo wa kuhoji inapobidi!

Mambo yamebadirika mno

Narudia tena, kuendelea kumsingizia Magufuli leo, ni dhahiri kwamba kosa wanalo ila hawataki kujitokeza kuomba poo!
 
Back
Top Bottom