ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #41
Akwepe Kwa lipi hasa baya?Kwenye hili mama hakwepi hata anunue vichawa vingine waongeze nguvu kumtetea, ila wanatanzania wa miaka 10 iliyopita siyo kama wa leo, wanajua na wanaouwezo wa kuhoji inapobidi!
Mambo yamebadirika mno
Narudia tena, kuendelea kumsingizia Magufuli leo, ni dhahiri kwamba kosa wanalo ila hawataki kujitokeza kuomba poo!