Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah yaan na hili mnataka kumuangushia jumba bovu JPM? NB; Pambaneni na hali zenu kuna uovu ndan ya mkataba tafuteni namna ya ku solve!!
Ni lini magufuli alitangaza kuunda hiyo timu?
Ukamuulize yeye kwa ndo aliyesema hivyo?Tukamuulize yule alietolewa majalalani
Maji yamekorogekaCjui hata umeandika nn
Mbona sasa ni kuchanganyikiwa tu? Si wautupilie tu mbali kama hawajavuta?"Kwa hili Hayati Rais Magufuli asisingiziwe,alikuwa hapendi kabisa Mali za nchi kuwapa wageni" Tundu Lissu.
😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”
Hili hapa chimbuko la Mkataba 'tata' wa Bandari, hawa wanacho cha kutueleza!
Nimeamua kuwadokeza watanzania jambo hili. Kujua chimbuko ni mwanzo wa kujua suluhisho la tatizo, kama lipo. Kwa ubobevu wangu kiutumishi serikalini na chamani, nimefuatilia na kujua chimbuko la mkataba huu 'tata' wa bandari kati ya Serikali yetu na ile ya UAE ikiwakilishwa na kampuni ya DP...www.jamiiforums.com
Maji yamefika shingoni sasa mnaanza kusingizia walioenda mbele za haki. Pambaneni na hali yenu mwacheni JPM apumzike.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist