Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

Loh!! Kwamba alienda kwenye Yale mabembea Dubei Kwa hisani ya Magu!!!!

Tutaona mengi, tusubiri.
 
kwahiyo wameona.wakimsingizia marehemu.ndio watakua.sahihi? HII inji ina viazi vingi sana.
 
Daaah yaan na hili mnataka kumuangushia jumba bovu JPM? NB; Pambaneni na hali zenu kuna uovu ndan ya mkataba tafuteni namna ya ku solve!!

Itafika mahali tutaenda kuweka pingu pale kaburini!!!muda si mrefu
 
Hahaha, huu mkatana ulisainiwa kabla ya kifo cha mwamba? 😂😂😂 2022??!!
 
"Kwa hili Hayati Rais Magufuli asisingiziwe,alikuwa hapendi kabisa Mali za nchi kuwapa wageni" Tundu Lissu.
 
Attachments

  • IMG-20230717-WA0395.jpg
    IMG-20230717-WA0395.jpg
    70.3 KB · Views: 1
JPM alikuwa na matatizo mengi, ila kwenye hili la raslimali za watanganyika msimzingizie. Hata kwenye huu mkataba wenu ambao ninyi mnaosema ni makubaliano, sidhani angethubutu hata kukaa meza moja na huyo mwarabu.
 
Kumbe tuna Mwanasheria mkuu wa Serikali hatumjui eee - bwana JOHARI.

Tanganyika utafika kwenye nchi ya ahadi ila utafika ukiwa umechoka sana aisee.
 
😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Nguvu kubwa iliyotumika 2019 na 2020 matunda yake ndiyo haya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Maji yamefika shingoni sasa mnaanza kusingizia walioenda mbele za haki. Pambaneni na hali yenu mwacheni JPM apumzike.

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom