Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

Oyaaa Marehem aliwafukuzia mbali WACHINA WA BAGAMOYO.

Ije kua DP world 😂😂😂

Tangu lini mtu wa Anga, kuja kusema Bandari 🤣🤣.

Usiombe uzungukwe na Vilaza na wachumia tumbo, Kila siku watazidi kukuharibia
Huyo mtu wa anga aliteuliwa na JPM 2016 na kupewa cheo hicho. Ni mmoja wa watu aliowaamini sana hayati alipokuwa hai.

Ni mwanasheria mbobezi na mikataba mingi amekuwa akiisaini yeye.

Bandari ya Bagamoyo na suala la DP World ni vitu viwili tofauti. Kumbuka SGR imetumia Trilioni 16 mpaka sasa hivyo ni reli ya kubeba mzigo wenye pesa nyingi sio kubeba magunia ya mahindi na maharage.
 
Huyu ChoiceVariable either Kwa kutumwa au kujituma amekua anatumia nguvu kubwa sana kutetea DP WORLD 🌎

All in all,
Mimi binafsi sipingi ubinafsishaji wa bandari zetu,

Haiingii akilini Wala hai click ubongoni kubinafsisha bandari zetu bila kupitia Kwa Kina na kinaga ubaga tena kipengele Kwa kipengele........

Kuna clip nyingi tu za The late JPM akiwachana na kushangaa mikataba ya ajab ajab ambayo serikali huingia kichwa kichwa mwisho wa siku Ina COST

Hii ishu inamchafua na itamchafua mama Samia....Mimi ningekua mama Samia ningezicheza karata zangu kivingine.........

Mama Samia ajue anaongoza MAPAKA DUME kama umewai kufuga au kuishi na MAPAKA 50 ndipo utakuja kujua Kila PAKA ni mjanja kutawala MAPAKA ni issue ngumu asikwambie mtu..🙂🙂🙂

Issue na doubt kubwa ni kuingizwa kwenye mikataba ya mashaka hio NDIO hoja na wasipo angalia upotoshaji ni mkubwa MNO........hasa huko vijijini ndani ndani uelewa wao ni mdogo sanaa.....
 
How? Mimi ni optimistic
"Opptimistic" kwa matarajio ambayo yameandaliwa kwa mizengwe!

Kumbuka kuwa Historia ni funzo kubwa katika maisha kama Wahenga walivyonena Kujikwaa siyo kuanguka au Usilolijua ni kama usiku wa giza.

Hivyo basi, nakushauri uwe mwangalifu unapoleta hoja humu jamvini kwani Ukweli ukidhihiri uwongo hujitenga
 
Huyu choicevariable either Kwa kutumwa au kujituma amekua anatumia nguvu kubwa sana kutetea DP WORLD 🌎

All in all,
Mimi binafsi sipingi ubinafsishaji wa bandari zetu,

Haiingii akilini Wala hai click ubongoni kubinafsisha bandari zetu bila kupitia Kwa Kuna na kinaga ubaga tena kipengele Kwa kipengele........

Kuna clip nyingi tu za The late JPM akiwachana na kushangaa mikataba ya ajab ajab ambayo serikali huingia kichwa kichwa mwisho wa siku Ina COST

Hii ishu inamchafua na itamchafua mama Samia....Mimi ningekua mama Samia ningezicheza karata zangu kivingine.........

Mama Samia ajue anaongoza MAPAKA DUME kama umewai kufuga au kuishi na MAPAKA 50 ndipo utakuja kujua Kila PAKA ni mjanja kutawala MAPAKA ni issue ngumu asikwambie mtu..🙂🙂🙂

Issue na doubt kubwa ni kuingizwa kwenye mikataba ya mashaka hio NDIO hoja na wasipo angalia upotoshaji ni mkubwa MNO........hasa huko vijijini ndani ndani uelewa wao ni mdogo sanaa.....
Ajabu ni ipi? Mimi napenda Ufanisi na Niko clear kabisa Kwa sababu zifuatazo
1.Mtoto wa maskini huwezi pata kazi hapo TPA labda Ulinzia,ukuli na zingine za kipuuzi,
2.Inefficiency ya Bandari eg ziara za kushtukiza hazijaondoa Rushwa Wala wizi wa mali za wateja
3.Gaharama kubwa za kuhudumia Shehena,ucheleweshaji nk
4.Bandari kugeuzwa shamba la bibi Kwa watu wenye connection kupitisha mizigo Yao na ya mahawala zao Kwa connection
5.Naamini kwenye sekta binafsi,ujamaa kwangu hauna nafasi ni umaskini..

Mengine ni upotoshaji
 
"Opptimistic" kwa matarajio ambayo yameandaliwa kwa mizengwe!

Kumbuka kuwa Historia ni funzo kubwa katika maisha kama Wahenga walivyonena Kujikwaa siyo kuanguka au Usilolijua ni kama usiku wa giza.

Hivyo basi, nakushauri uwe mwangalifu unapoleta hoja humu jamvini kwani Ukweli ukidhihiri uwongo hujitenga
Mizengwe kivipi? DP World ni sawa na Tics?
 
😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Tundu Lisu: CCM kila kitu kibaya wanamsingizia Magufuli kwa sababu amekufa!
pamoja na mapungufu yake kama binadamu. magu hakusaini mkataba wa kishenzi kipindi chake kama huyu mama alivyofanya. Alipoingia ikulu alikuta deal la wachina kujenga sgr kwa usd5mil kwa kilomita. magu akakataa akawapa waturuki kwa usd3mil kwa km.

deal la dp world si la magu hata kidogo. wanajua walikolitoa
 
Back
Top Bottom