Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya

Ritz,
Hebu tupe takwimu za uzi huu.
Ulidumu kwa miezi mingapi na ulisomwa na watu wangapi?
Wanamajlis,
Nimeuliza swali hapa sasa takriban inafiki juma zima nimesema, ''Je
mngependa kujua Brendon Grimshaw Mhariri wa Tanganyika Standard
alisema nini katika taazia aliyomwandika Abdul Sykes mwaka wa 1968
baada ya kifo chake?

Nyote pamoja na Nguruvi3 mmekuwa kimya kabisa.
Sikiza nini alisema Grimshaw pamoja na mengine:

<iframe width="420" height="315" src="" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
 
Mi sio bogus fan ambae anaamini kila kitu anachosema mzee muddy ni sahihi...siwez kua hohehahe kama nyie maalim muddy company ..nacriticize napoona panafaa kua criticized..pia mdhani sisi tunamuabudu Nyerere hapana Sidhani kuna kumuabudu Nyerere bali ni ile heshima kama muasisi wa Taifa kama alivyo Karume muasisi kule Zanzibar.Tusiwe tu wa kupinga ukweli Tupende tusipende atabakia kama kiongozi maarufu na Mwenye mchango mkubwa sana African hata kama kuna WATANZANIA kina mzee Ms mtalazimisha kumfuta !!! Uzuri historia imeshaandikwa na hata wanaojaribu "kusahihisha" kwa kumpaka matope na kumchafua hawataenda mbali sana zaidi ya kwenye vijiwe kawaha na Samaki lkn sisi tunakubali makosa kadha wa kadha ya kihistoria ya Nyerere ambayo hayahitaji weledi wa juu kuyaona. Upande wenu hata hivyo, hamko tayari hata kukiri zuri moja la Nyerere na hivyo mnajitahidi sana kumfanya Shetani. Itawasaidia mkijaribu japo kidogo kutambua mchango wa Nyerere kwa maisha, fikra na historia ya Tanzania - labda hapo mtakuja kwenye kuhumu kwa mizani ya haki kidogo. Katika hili tunaomtetea ukweli wa Nyerere tunawapita sisi wengine tupo kuweka rekodi sawa ili wasomao kwa ufahamu wasisumbuke wala wasijekula sumu kila la kheri endeleza Udini wako na company yako
 
Mzee wangu Mohammed Said kuna uzi amepost Yericko Nyerere facebook akisema Nyerere alisema bora asingejiunga TAA na angeendelea na TAWA yake. Sasa nimemuomba ndugu Yericko aje kwenye hii majlis ili tupate faida ya elimu. Na kwamba eneo ambalo lilijengwa jengo la AA lilitolewa na muingereza. Pia lengo la AA ilikua kupata uhuru wa starehe yaani.
Mzee Ms history yake iko beased sana kwenye Udini ndio maana mnakasha mingi inaishia njiani
 
Ritz,
Hebu tupe takwimu za uzi huu.
Ulidumu kwa miezi mingapi na ulisomwa na watu wangapi?
Mudeer Mohamed Said,

Uzi ulichukuwa miezi 6 Moderator wa JF wakaufunga.

Kabla ya kufungwa ulikuwa umesomwa na watu laki 1 na nusu.

Uzi umebaki kama kumbukumbu.
 
Mi sio bogus fan ambae anaamini kila kitu anachosema mzee muddy ni sahihi...siwez kua hohehahe kama nyie maalim muddy company ..nacriticize napoona panafaa kua criticized..pia mdhani sisi tunamuabudu Nyerere hapana Sidhani kuna kumuabudu Nyerere bali ni ile heshima kama muasisi wa Taifa kama alivyo Karume muasisi kule Zanzibar.Tusiwe tu wa kupinga ukweli Tupende tusipende atabakia kama kiongozi maarufu na Mwenye mchango mkubwa sana African hata kama kuna WATANZANIA kina mzee Ms mtalazimisha kumfuta !!! Uzuri historia imeshaandikwa na hata wanaojaribu "kusahihisha" kwa kumpaka matope na kumchafua hawataenda mbali sana zaidi ya kwenye vijiwe kawaha na Samaki lkn sisi tunakubali makosa kadha wa kadha ya kihistoria ya Nyerere ambayo hayahitaji weledi wa juu kuyaona. Upande wenu hata hivyo, hamko tayari hata kukiri zuri moja la Nyerere na hivyo mnajitahidi sana kumfanya Shetani. Itawasaidia mkijaribu japo kidogo kutambua mchango wa Nyerere kwa maisha, fikra na historia ya Tanzania - labda hapo mtakuja kwenye kuhumu kwa mizani ya haki kidogo. Katika hili tunaomtetea ukweli wa Nyerere tunawapita sisi wengine tupo kuweka rekodi sawa ili wasomao kwa ufahamu wasisumbuke wala wasijekula sumu kila la kheri endeleza Udini wako na company yako
Wembee,
Mchango wa Nyerere katika TANU na kudai uhuru ni mkubwa sana.

Ikiwa nitajaribu kusema kuwa Nyerere hakuwa lolote katika historia ya
Tanganyika nitakuwa nimejivunjia heshima yangu.

Ukisoma kitabu changu utakuta sehemu nyingi ambazo zinaeleza vipi
Nyerere alijenga matumaini ya Watanganyika katika kurejesha utu na
heshima yao.

Ila hutomsoma peke yake.

Ikiwa ni katika mikutano ya mwanzo 1955 pale Mnazi Mmoja utamsoma
Nyerere, Sheikh Suleiman Takadir, Bi. Titi Mohamed na wengineo.

Ikiwa safari ya kwenda UNO utamsoma Nyerere na Idd Faizi Mafongo,
Mwalimu Kihere
na wengineo.

Ikiwa sakata la kura tatu utamsoma Nyerere na Sheikh Rashid Sembe
na Hamisi Heri na wengineo.

Hutomsoma Nyerere peke yake.

Utakapokuja katika kuasisi TANU utasoma nimeandika historia ya TANU ni
historia ya maisha ya Abdul Sykes na katika maisha hayo pia utamkuta
Julius Nyerere, Hamza Mwapachu na wengineo.

Hapa ndipo ilipo tofauti baina yako na mimi.
Ikiwa wewe utaona huu ni udini hii ni bahati mbaya kwa upande wako.

Nasema ni bahati mbaya kwa sababu kitabu changu kimefanyiwa ''review,''na
mabingwa wa historia ya Afrika duniani kama John Iliffe, James Brenan,
Jonathon Glassman
na wengineo.

Hili la udini hakuna hata mmoja ameliona isizidi ndiyo ikawa sababu ya mimi
kualikwa kwenye vyuo vyao kuzungumza.

Hakuna alomfuta Nyerere katika historia ya TANU lakini wapo waliomfuta
Abdul Sykes katika historia ya TANU na Nyerere alikaa kimya.

Ikiwa unadhani historia ya TANU na historia ya Nyerere imeandikwa basi
nakuhakikishia historia hiyo ndiyo sasa inaandikwa.

Chanzo cha kuiandika historia hii ni mazungumzo kati ya Prof. Haroub
Othman
na Nyerere, Prof. Haroub alipomwambia Nyerere, ''Mwalimu
lazima uwajibu Ali Muhsin na Mohamed Said.''

Majibu ni kwa ajili ya vitabu walivyoandika Ali Muhsin na Mohamed Said:

2016%2B-%2B1

JwsVzu6U3F5wAF8-cQQSfyzCRpEldq30CPAXYrkHsYBlTFh8MeXz5tTzXJvw681W_DNh0MlCCyjOSI2NCaGq8l1bvssBgSVmspXHpDH53AB0SOTrem0kzJ11Rwo0ARLdqB5y-1-PftVrrGbPrR6JltWxB1d2KmJAEzrk7EfLao0Ljdy-m7FXDOO_MWrXBRyh9cIfHPmtbXVmnfSm6XGCbxnlKVq6mSoNCWkZj0-DfOQTPfYrjh4IMHGDqG5yxDvkPkOZZ8W07m6cQ_NCYbK4EFS9gDxub7cWTaUm9nFKvG1nJM8M4HhGNIQhSdVn3bTEgbNJjOTZlBt6bKtGpqT03gdtbYPudT49pXBr8SUrDEWlr0_jJeet0T-7RFxlO4BMt6LrWyFodllmsX7w8j0IyPJtkJ61-uhJuAPiGFBl8KTHyzKa9ok3vjAMyCMpEoQI23mr-W3IVihjJMXksZgZ0QcPqF4KssxAPbH4NI4z-meE56vSw0gQ3sKw0vXw9wtvUwDBfyWAZKX-qseosDF4fgzeJtO5dyhQIFdHNmhnjHpKK-vubhRisHuKurXxcq2-6ndYvn1Osvgvrx_7foWSAXDiFdhkjYY=w890-h657-no

Wembee,
Soma vitabu hivi utakudhihirikia kweli kuwa historia ya Tanganyika
ilikuwa bado haijaandikwa.

Hao maprofesa unaowaona hapo chini ndiyo sasa wanaandika historia
ya Mwalimu Nyerere ambayo ndiyo historia ya TANU na historia ya uhuru
wa Tanganyika:

pJtPlESrr4SSp3NCZikCwU38ubnATdBNHMqgOeyqAUiTAq6yChYnNixyA0CB9qkanB5dFzvsBYYpdJ-_Goi0VtbjqEF-Vr-i2TOF1pHqY91Q7nE_cKJ93unrW_s5yBjC1aUoSqRv4BZby4snWjcLxQHM-HfqSsvEhoQfub-WZSnjcG1yjKyaReQ_RfwQ1HnMTrhGhRS2AAA1ntT_5UJOK-fRhVZBELgFsmMiaiIhKZRumzHbG9DsQKVeZx0p1087E1guMIYOI7xQwlH7WqXtIxAcciJGLgNC46chrExR8-1Qnt4lSiO0H-MpejihvnZX7QSSSXunbk9Z7B7g_iUXH6q2iCAIAkoExTrLy6yR0BBYR-WKeTBu4ZG2auWnuwg2QAJLIx4ARIvW0F1OnvhYTBfk7Fi69cUMkEjwvGqGPxUL2nY8IswgPNduvszGOe5pGct7fM73V5r1YU_MlIFxqygJJmmAH1fzlmQXu0xahIx-bHpahYwK02n3C1mQH8VsPyYLdpZVL6CBcHP4GPBZgQ132zSbNn-wrPxCukX0HaBraUC3BQ-xkCUrgYkVjVlDqkxChHXPvFKLtfSsftm4HmsllRkjY5A=w800-h534-no

Prof. Saida Othman na Prof. Issa Shivji aliyekaa chini ni Mwandishi katika mahojiano
kuhusu Mwalimu Nyerere na TANU nyumbani kwa mwandishi.
 
Mudeer Mohamed Said,

Uzi ulichukuwa miezi 6 Moderator wa JF wakaufunga.

Kabla ya kufungwa ulikuwa umesomwa na watu laki 1 na nusu.

Uzi umebaki kama kumbukumbu.
Ritz,
Ahsante sana.

Huwezi kuwaleta watu laki unusu kwenye ukumbi ikiwa huna la maana
la kuwaambia.
 
Mzee Ms history yake iko beased sana kwenye Udini ndio maana mnakasha mingi inaishia njiani
Wembeee,
Hilo nishakujibu kupitia wanahistoria maarufu: John Iliffe, James Brenan
na Jonathon Glassman.

Hilo swali la udini unaliona wewe tu?
Hakuna ninapoingia mimi watu wakaniacha njiani.

Naandika vizuri na watu wanapenda kunisoma.

Nimeweka rekodi ya kusomwa na watu laki unusu hapa JF tena kwa miezi
sita.

Tafuta mengine ya kusema.
 
Baada ya huo uzi kufungwa watu wakaendelea kuusoma hivyo hiyo umefungwa.

Kwa faida ya JF...

Huo uzi mpaka leo hii umesomwa na watu 490, 472 na unaendelea kusomwa daah!!.

Kuna huu uzi mwingine unamuhusu Mudeer Mohamed Said, huu ulianzishwa na Mag3 huu umeishasomwa na watu 112, 133 huu bado upo hewani unaweza kuupitia hapa chini kiduchu...

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa
 
Nakumbuka huo uzi anaejiita Mag3 alikuja na ufataani wake akapewa darsa adhyim mpaka leo hana hamu na hana jipya. Kagwaya.
 
Si alikuwa na mpango wa kuandika kitabu kumjibu Mudeer, hicho kitabu ndiyo utakuta habari za Mwanamama Cecil Matola.
 
Jaman cc ni wote ni Watanzania na ni wajibu wetu kujua historia ya nchi yetu pamoja na kuwajua waliojitoa kwa dhati kuhakikisha vizazi vijavyo ambavyo ni mimi na wewe tuje kuishi kwa uhuru.. Na ktk historia tunazopeana umu naomba icje ikatokea kutuweka ktk matabaka ya kidini, kikabila na kimikoa.. Sisi sote ni Watanzania halisi hasa tuondoe kutupiana maneno ya karaha ili kwa pamoja tuijenge Tanzania yetu.. Nawapenda Watanzania wenzangu wote.. Wabillah taufik assalam alaykum warahma tullah wabarakatuh
 
Wanamajlis,
Nimeuliza swali hapa sasa takriban inafiki juma zima nimesema, ''Je
mngependa kujua Brendon Grimshaw Mhariri wa Tanganyika Standard
alisema nini katika taazia aliyomwandika Abdul Sykes mwaka wa 1968
baada ya kifo chake?

Nyote pamoja na Nguruvi3 mmekuwa kimya kabisa.
Sikiza nini alisema Grimshaw pamoja na mengine:

<iframe width="420" height="315" src="" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>

Mzee MS ktk hii clip unazungumzia ujenzi wa chuo kikuu cha kiislam kilicho taka kujengwa changombe ktk kiwanja kilicho mtia matatani she Ponda kama sikosi.
Wakati huo waislam wa tnganyanyika walikuwa chini ya IAMS.
Pia niliwahi kumsikia marehem sheikh ILUNGA akizungumzia chuo hichi na jinsi mwalim Jkn alivyo weka jiwe la msingi la ujenzi wa chuo.
Marehem Ilunga alisema wakati huo chini ya 1968 waisalam wa tanganyika walikuwa wanamiliki shule nyingi sana hasa ktk mkoa kilimanjaro kama sikosei alitamka shule zaidi ya 60.
Swali langu kwako je unazo kumbukubu za shule za kiislam aidha zilizokuwa zinamilikiwa na IAMS au taasisi zingine au waisla tu kwa wakati huo?
Nia ya swali langu ni kibehi tunazo zipata kutoka kwa wasio waislam kuwa sisi waislam hatukusoma na hatukupenda/ na hatupendi kusoma zaidi ya kusoma madrasa tu.
Ninapo shangaa nivipi tunakebehiwa ikiwa 1967 kama sijakosea mwaka mwalim Jkn alituwekea jiwe la msingi la chuo kikuu.
Na vipi tufikirie kujenga chuo kikuu kama hatukuwa na shule za kutoa wanafunzi wa kwenda ktk chuo kikuu tunacho taka kujenga.
Na kama utaweza kunijibu kwanini ilishindikana kutojenga tena chuo hicho?
 
Nami nasubiri jibu hapa niendelee kuongeza maarifa.
 
Sahimtz,
Soma kitabu cha Abdul Sykes.

Mwisho wa kitabu sehemu ya tatu nimeipa anuani:
Njama Dhidi ya Uislam.

Nimeeleza kila kitu humo.

Kitabu kinapatikana Msikiti wa wa Mtoro na Manyema
Ibn Hazm Media Centre Bookshop, Soma Bookshop
Mikocheni, Novel Idea Slip Way Masaki, Elite Bookshop
Mbezi Samaki.

Kitabu Ibn Hazm wanauza shs: 10,000.00 kwengineko
ni shs: 13,000.00.
 
Back
Top Bottom