Handaki leye urefu wa zaidi ya kilomita moja laangamizwa huko gaza!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Habari za uhakika Handaki lenye urefu wa kilomita moja limeangamizwa na majeshi ya Israel huko Gaza. Magaidi wa Hamas wanaendelea kupoteza maeneo kila kukicha. Mahandaki huko Gaza ndiyo maficho ya magaidi hao na Kafri yanavyoangamizwa ndivyo Hamas wana kosa udhibiti wa Gaza.
​
 
View attachment 3289201

Endeleeni kufurahia tu waislamu wakiuawa, ila ukumbuke tu kila nafsi itaonja umauti
 
Habari za uhakika Handaki lenye urefu wa kilomita moja limeangamizwa na majeshi ya Israel huko Gaza. Magaidi wa Hamas wanaendelea kupoteza maeneo kila kukicha. Mahandaki huko Gaza ndiyo maficho ya magaidi hao na Kafri yanavyoangamizwa ndivyo Hamas wana kosa udhibiti wa Gaza.
​
View attachment 3289201
Ww mjusi kafir, unawaita magaidi wamekuulia mkeo? Watu wanapigania nchi yao, wala hawana habari na nyie wagalatia wa makambako, lakini mnajitia kimbelembele kuwatetea mayahudi ambao hata nao hawana habari na nyie na wanakuoneni takataka tu
 
Wewe Mwarabu-koko nini kinakuumiza? Unafikiri hao magaidi wanakujua basi??
 
Ww mjusi kafir, unawaita magaidi wamekuulia mkeo? Watu wanapigania nchi yao, wala hawana habari na nyie wagalatia wa makambako, lakini mnajitia kimbelembele kuwatetea mayahudi ambao hata nao hawana habari na nyie na wanakuoneni takataka tu

Hiyo nchi wanayopigania inaitwaje? Hilo eneo lote lilikuwa na Taifa moja tu lililoitwa Canan, ambalo lilimegwamegwa na mataifa jirani ya Jordan, Lebanon, Syria, Iraq na Misri. Eneo lililobakia lilizalisha nchi ya Israel, na jingine walipewa waarabu wakalikataa. Sasa hiyo nchi ni ipi wanayoipigania Hamas? Labda kama wanapigania mgao wa ardhi, lakini siyo nchi.
 
Umepiga penyewe kabisa!!!!
 
Back
Top Bottom