Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
- Thread starter
- #61
Hizo ni tabia za magaidi wote duniani!! Mbona hujauliza wanavyoteka watu,wanavyoua watu na kudai fidia. Nimekuambia hizo ndizo dalili za Magaidi. Maana watu wanaoteka watu,wanaua na kuwatumia wanawake na watoto kama kinga yao na wanadai fidia au mbadirishano elewa hao ni Magaidi. Hamas,Hezbollah na Houth hao wote ni Magaidi na wanastahili wapigwe mpaka wachakae!!!Uliwaona kwa macho yako wakiwatumia watoto kama ngao?