Kwani wanaouawa Congo ni waislamu? Hiyo ni vita muraa haichagui uwe Muslim au orthodoxEndeleeni kufurahia tu waislamu wakiuawa, ila ukumbuke tu kila nafsi itaonja umauti
Kwani hao palestina wana habari na wewe mmatumbiWw mjusi kafir, unawaita magaidi wamekuulia mkeo? Watu wanapigania nchi yao, wala hawana habari na nyie wagalatia wa makambako, lakini mnajitia kimbelembele kuwatetea mayahudi ambao hata nao hawana habari na nyie na wanakuoneni takataka tu
Yamekuwa hayo tena.
Kwani Octoba 7, 2023 hawakulijua hilo😎
Hapana mkuu, 70 years ago ni jirani sana.Kumbe ukatili wa mazayuni yaliyolaaniwa ulianza oct na sio zaidi ya 70 years ago!!
Hao ni wapalestina siyo waislamu. Vita ni kati ya wapalestina wa gaza na Israel, siyo waislamu na waisraeliEndeleeni kufurahia tu waislamu wakiuawa, ila ukumbuke tu kila nafsi itaonja umauti
Wamekosea nini hadi wauawe? Who told u hao wote ni waislamu?Endeleeni kufurahia tu waislamu wakiuawa, ila ukumbuke tu kila nafsi itaonja umauti
Na wewe una Laana kubwa sana mpaka umeweka na Bendera ya walio na laana elewa na wewe Una laana kubwa!!Why na sio mazayuni! mnawachukia sana waarabu, mna chuki na waislamu, nyie watu mnatabu sana na ndio maana hamuendelei, Watu kama wewe tulikuanao na leo hatukonao, hivyo acha kibri na chuki
Endeleeni kufurahia tu waislamu wakiuawa, ila ukumbuke tu kila nafsi itaonja umauti
sema magaidi wakiuawa acha kuingiza uislamu kwenye ugaidiEndeleeni kufurahia tu waislamu wakiuawa, ila ukumbuke tu kila nafsi itaonja umauti
nchi Gani wanaipigania hao magaidiWw mjusi kafir, unawaita magaidi wamekuulia mkeo? Watu wanapigania nchi yao, wala hawana habari na nyie wagalatia wa makambako, lakini mnajitia kimbelembele kuwatetea mayahudi ambao hata nao hawana habari na nyie na wanakuoneni takataka tu
sema magaidi wakiuawa acha kuingiza uislamu kwenye ugaidi
Na wewe una Laana kubwa sana mpaka umeweka na Bendera ya walio na laana elewa na wewe Una laana kubwa!!
Hawajitambui na ni wabaguzi. Hawana laana.
Wanapigania kuwa na nchi yaoHiyo nchi wanayopigania inaitwaje? Hilo eneo lote lilikuwa na Taifa moja tu lililoitwa Canan, ambalo lilimegwamegwa na mataifa jirani ya Jordan, Lebanon, Syria, Iraq na Misri. Eneo lililobakia lilizalisha nchi ya Israel, na jingine walipewa waarabu wakalikataa. Sasa hiyo nchi ni ipi wanayoipigania Hamas? Labda kama wanapigania mgao wa ardhi, lakini siyo nchi.
Vitendo wanavyovifanya ndivyo vinavyosababisha wait wa magaidi Wanatumia watato na wanawake kama kinga, wanateka watu na wanaua watu ili tu kutimiza malengo yao!!!!