Dini ni kama ulevi kwakweli.Habari za uhakika Handaki lenye urefu wa kilomita moja limeangamizwa na majeshi ya Israel huko Gaza. Magaidi wa Hamas wanaendelea kupoteza maeneo kila kukicha. Mahandaki huko Gaza ndiyo maficho ya magaidi hao na Kafri yanavyoangamizwa ndivyo Hamas wana kosa udhibiti wa Gaza.
View attachment 3289201
We muda wote unaona mazur ya Israel tu. Huoni unyama hata mmoja wanaofanya kwasababu ya ushabiki wa kidini.Hapo dini inaingia je!
Lakini wewe ulivyo mjinga huoni ubaya wa Magaidi waliovamia Oct 07,2023 na kuua watu 1,200 na kuteka nyara watu 251 ulivyo Mpumbavu hilo hulioni!!We muda wote unaona mazur ya Israel tu. Huoni unyama hata mmoja wanaofanya kwasababu ya ushabiki wa kidini.
Wanawapelekea moto😁😁Israel inamwaga Moto Tu, Inavutia.
Mimi sio mjinga kwanza futa kauli. Pili singing mkono walichofanya hamas wala siungi mkono Israel kuendelea kuua watoto na mimi nina watoto na nasikia maumivu wanayopitia wazazi wote. Nachosema ni hiki. Waafrika tuna shida nyingi za kufikiria kuzitatua kuliko huu ushabiki wa kinder wa watu wasiotupendaLakini wewe ulivyo mjinga huoni ubaya wa Magaidi waliovamia Oct 07,2023 na kuua watu 1,200 na kuteka nyara watu 251 ulivyo Mpumbavu hilo hulioni!!
Nyuma huku mmekunja mikia😂😂Hamas kazen wanangu tupo nyuma 😎
Usikatae wewe ni mjinga sana tu maana huungi mkono Magaidi wa Hamas na Huungi mkono Israel sasa huo kama si ujinga ni nini? Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 hajasema lolote kuwapinga magaidi hao Ina maana unawaunga mkono magaidi hao kwa usnenzi walioufanya siku hiyo wewe ni mjinga kwa sababu umekaririshwa kuwa Israel inaua wanawake na watoto na wewe ukalikubali bila kujiuliza wakati wanauwawa wanawake na watoto wanaume wanakuwa wako wapi? Au mabomu ya Israel yanawalenga wanawake na watoto tu? Wanaume yanawakwepa? Kama unaumia watoto wanapouliwa Mbona hujaumia wakati watoto wa kiyahudi walipouliwa na magaidi wa Hamas?Mimi sio mjinga kwanza futa kauli. Pili singing mkono walichofanya hamas wala siungi mkono Israel kuendelea kuua watoto na mimi nina watoto na nasikia maumivu wanayopitia wazazi wote. Nachosema ni hiki. Waafrika tuna shida nyingi za kufikiria kuzitatua kuliko huu ushabiki wa kinder wa watu wasiotupenda
Mungu ibariki IsraelIsrael inamwaga Moto Tu, Inavutia.
Usifikir ukiwaunga mkono waisrael au waarabu ndio utafika mbinguni chief. Linda moyo wako kuliko chochote ulindacho na kuwa makin na ulimi wako. Mungu sio mshabiki wala hana upendeleo. Siungi mkono mauaji ya oct 7 na siungi mkono mauaji yanayoendelea. Naunga mkono amani na maelewano siko upande wa Gaza kwenye hili. Mbele za Mungu hakuna asili ya mtu alikotoka ila kuna upendo. Na kwa mafundisho ya Bwana wetu Yesu Kristo ni kuwa tuwe chumvi ya ulimwengu sio kikwwazoUsikatae wewe ni mjinga sana tu maana huungi mkono Magaidi wa Hamas na Huungi mkono Israel sasa huo kama si ujinga ni nini? Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 hajasema lolote kuwapinga magaidi hao Ina maana unawapangia mkono magaidi hao kwa usnenzi walioufanya siku hiyo wewe ni mjinga kwa sababu umekaririshwa kuwa Israel inaua wanawake na watoto na wewe ukalikubali bila kujiuliza wakati wanauwawa wanawake na watoto wanaume wanakuwa wako wapi? Au mabomu ya Israel yanawalenga wanawake na watoto tu? Wanaume yanawakwepa? Kama unaumia watoto wanapouliwa Mbona hujaumia wakati watoto wa kiyahudi walipouliwa na magaidi wa Hamas?
Hebu vaa uhusika wewe Mtu anakuja kwako anaua watu na kuwateka watoto wako akawapeleka nyumba jirani ukafanya juhudi zote ikashindikana utafanya nini? Na ndiyo maana Israel iko vitani kuwakomboa mateka waliotekwa na magaidi hao. Kama wewe ungelifanyaje? Je ungeanza kuimba nyimbo za sifa tu? Au ungefunga na kuomba tu au ungeomba moto wa Eliya ushuke? Naomba majibu yako!!Usifikir ukiwaunga mkono waisrael au waarabu ndio utafika mbinguni chief. Linda moyo wako kuliko chochote ulindacho na kuwa makin na ulimi wako. Mungu sio mshabiki wala hana upendeleo. Siungi mkono mauaji ya oct 7 na siungi mkono mauaji yanayoendelea. Naunga mkono amani na maelewano siko upande wa Gaza kwenye hili. Mbele za Mungu hakuna asili ya mtu alikotoka ila kuna upendo. Na kwa mafundisho ya Bwana wetu Yesu Kristo ni kuwa tuwe chumvi ya ulimwengu sio kikwwazo
Sio swala la dini,hawa ni magaidi,Iran is behind this,watapigwa sana kwakuwa Israel ana picha zote za maeneo yao...Dini ni kama ulevi kwakweli.
Ndio nakuuliza wewe kama mkristo wajibu wako wa kwanza ni upiHebu vaa uhusika wewe Mtu anakuja kwako anaua watu na kuwateka watoto wako akawapeleka nyumba jirani ukafanya juhudi zote ikashindikana utafanya nini? Na ndiyo maana Israel iko vitani kuwakomboa mateka waliotekwa na magaidi hao. Kama wewe ungelifanyaje? Je ungeanza kuimba nyimbo za sifa tu? Au ungefunga na kuomba tu au ungeomba moto wa Eliya ushuke? Naomba majibu yako!!
Kuna waungwana walikua wanaitetea Gaza sikuizi wamepoa kama Maji ya mtungi.Wanawapelekea moto😁😁
Inasikitisha wakristo kufanya kaz za shetan. Tangu lin chuki ndio zikawa ndio kipaumbele chetu.Mimi nimekuuliza swali wewe harafu wewe Unaniuliza tena? Jibu maswali yangu tuendelee mbele!!
Mbona kama cartoon ? Picha gani hiiHabari za uhakika Handaki lenye urefu wa kilomita moja limeangamizwa na majeshi ya Israel huko Gaza. Magaidi wa Hamas wanaendelea kupoteza maeneo kila kukicha. Mahandaki huko Gaza ndiyo maficho ya magaidi hao na Kafri yanavyoangamizwa ndivyo Hamas wana kosa udhibiti wa Gaza.
View attachment 3289201