Handaki leye urefu wa zaidi ya kilomita moja laangamizwa huko gaza!!

Wiki yote hii hamas wamekuwa wanaomba ceasefire baada ya kichapo kikali hata RAISI wa Palestine amewaomba hamas wakubali kushindwa
 
Dini ni kama ulevi kwakweli.
 
Lakini wewe ulivyo mjinga huoni ubaya wa Magaidi waliovamia Oct 07,2023 na kuua watu 1,200 na kuteka nyara watu 251 ulivyo Mpumbavu hilo hulioni!!
Mimi sio mjinga kwanza futa kauli. Pili singing mkono walichofanya hamas wala siungi mkono Israel kuendelea kuua watoto na mimi nina watoto na nasikia maumivu wanayopitia wazazi wote. Nachosema ni hiki. Waafrika tuna shida nyingi za kufikiria kuzitatua kuliko huu ushabiki wa kinder wa watu wasiotupenda
 
Usikatae wewe ni mjinga sana tu maana huungi mkono Magaidi wa Hamas na Huungi mkono Israel sasa huo kama si ujinga ni nini? Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 hajasema lolote kuwapinga magaidi hao Ina maana unawaunga mkono magaidi hao kwa usnenzi walioufanya siku hiyo wewe ni mjinga kwa sababu umekaririshwa kuwa Israel inaua wanawake na watoto na wewe ukalikubali bila kujiuliza wakati wanauwawa wanawake na watoto wanaume wanakuwa wako wapi? Au mabomu ya Israel yanawalenga wanawake na watoto tu? Wanaume yanawakwepa? Kama unaumia watoto wanapouliwa Mbona hujaumia wakati watoto wa kiyahudi walipouliwa na magaidi wa Hamas?
 
Usifikir ukiwaunga mkono waisrael au waarabu ndio utafika mbinguni chief. Linda moyo wako kuliko chochote ulindacho na kuwa makin na ulimi wako. Mungu sio mshabiki wala hana upendeleo. Siungi mkono mauaji ya oct 7 na siungi mkono mauaji yanayoendelea. Naunga mkono amani na maelewano siko upande wa Gaza kwenye hili. Mbele za Mungu hakuna asili ya mtu alikotoka ila kuna upendo. Na kwa mafundisho ya Bwana wetu Yesu Kristo ni kuwa tuwe chumvi ya ulimwengu sio kikwwazo
 
Hebu vaa uhusika wewe Mtu anakuja kwako anaua watu na kuwateka watoto wako akawapeleka nyumba jirani ukafanya juhudi zote ikashindikana utafanya nini? Na ndiyo maana Israel iko vitani kuwakomboa mateka waliotekwa na magaidi hao. Kama wewe ungelifanyaje? Je ungeanza kuimba nyimbo za sifa tu? Au ungefunga na kuomba tu au ungeomba moto wa Eliya ushuke? Naomba majibu yako!!
 
Ndio nakuuliza wewe kama mkristo wajibu wako wa kwanza ni upi
 
Ndio nakuuliza wewe kama mkristo wajibu wako wa kwanza ni upi
Mimi nimekuuliza swali wewe harafu wewe Unaniuliza tena? Jibu maswali yangu tuendelee mbele!!
 
Wanawapelekea moto😁😁
Kuna waungwana walikua wanaitetea Gaza sikuizi wamepoa kama Maji ya mtungi.
Israel inachojua ni Kazi, na kazi yake pale Gaza ni kumwaga Moto Tu. Stori za vijiwe vya kahawa imewaachia Gaza
 
Mimi nimekuuliza swali wewe harafu wewe Unaniuliza tena? Jibu maswali yangu tuendelee mbele!!
Inasikitisha wakristo kufanya kaz za shetan. Tangu lin chuki ndio zikawa ndio kipaumbele chetu.
 
Mbona kama cartoon ? Picha gani hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…